Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

Hujitambui nyie ndiye mlikuwa mnapewa hizo silaha mnaenda kuuwa watu ngoja tuwanyoshe mpaka muache ugaidi wenu.

weka data sio unakurupuka tu ni kweli kuwa hujitambui great thinkers wanasoma na kutafakari kisha kuandika wakiwa na ushahidi tosha hvi kesho polisi wakisema hana hatia utaweka wapi uso wako? tafakari chukua hatua
 
Double standard! Huyo msomali aliyepata ajari leo si amewaikukutwa na slaha mkutanoni. Kesi yake iliishia wapi? Sijii hata kama alikamattwa. Hii nchi......any way time willl tell.
 
Na hii ni tishio kwa wengine wanaoota kujiunga na upinzani ......... kuna hatari ya rais mstaafu Karume kukigawa chama (ccm) kadiri 2015 inavyokaribia

Karume ni mtu mwenye misimamo sana
 
Nani anakaza dada wa mwenzie?

Siyo lugha nzuri uliyotumia lakini nitakujibu.

Mansoor ameoa mdogo wake Karume jina lake Asha.

Karume ameoa dada yake Mansoor jina lake Shadya.

Yaani wamebadilishana madada na ndiyo maana alikuwa anaitwa double shemegi.
 
Nashangaa watu wanaomtetea na kuingiza siasa.Padri kauwawa watu wametiwa ulemavu tukataka jeshi la polisi lifanye kazi yake.Kazi imefanyika watu wanatetea wahalifu

Uhalifu huo wa Mansoor ni baada ya kufukuzwa CCM? Unajua baba yake alikuwa Brigedia wa jeshi?
 
Police wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...
Hakuna kesi kivipi? Kwani znz hawakuiona tangu zamani hiyo sheria ya kuzuia mtu kuwa na pistol ndio wanastuka leo? Himidi hakuwa mwakilishi katika baraza lililotunga sheria hiyo? Tena alikuwa waziri kwa nini asishawishi mswada wa marekebisho ili ifanyiwe marekebisho. Znz mnataka uhuru wa kujiamulia mambo yenu, mnaamua, , yakiharibika mnanyooshea kidole muungano. Hebu siku mojamoja kuweni watu wazima bana. Tumewachoka
 
Siyo lugha nzuri uliyotumia lakini nitakujibu.

Mansoor ameoa mdogo wake Karume jina lake Asha.

Karume ameoa dada yake Mansoor jina lake Shadya.

Yaani wamebadilishana madada na ndiyo maana alikuwa anaitwa double shemegi.

Duh nimeipenda hii
 
Police wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...

mkuu, umesema ukweli kabisa kuwa kosa lake ni kujiunga cuf sasa hawa wapumbavu tusiwaruhusu sera yao hii itutishe kuwa ukuhamia vyama vya upinzani basi ccm watakufungulia kesi..
 
Mkuu kinyago kilichofunika uso wa Uamsho ndo kwanza kinaanza kung'olewa.

Kiongozi kama Karume ni hatari sana.Mdogo wake Balozi Ali Karume alishawaambia kuwa huyu hafai lakini Mkapa akambeba na mbeleko ya chuma sasa anawatokea puani
 
mkuu, umesema ukweli kabisa kuwa kosa lake ni kujiunga cuf sasa hawa wapumbavu tusiwaruhusu sera yao hii itutishe kuwa ukuhamia vyama vya upinzani basi ccm watakufungulia kesi..

Mkuu si kila kifanyanywacho na polisi wakati mwingine ni kosa.UAMSHO ni tatizo kubwa sana,kama kesi hiyo unaihusisha na siasa tafadhali tafakari upya msimamo wako
 
Yawezekana vp nchi moja kukawa na upande waruhusiwa kumiliki kisha upande mwingine ukawa hauruhusiwi? huo muungano hapa uwapi?
 
We bwana simiyu halijakukuta ndio maana waweza sema lolote unalojisikia hapo hakuna haki iliyofanywa na polisi mbona alivyokuwa ccm kesi hizi hatukuzisikia ila tu baada ya kuhama huoni kama huo ni ukandamizaji
 
Uhalifu huo wa Mansoor ni baada ya kufukuzwa CCM? Unajua baba yake alikuwa Brigedia wa jeshi?

Kwan mtu baba yako akiwa brigedia huwezi kuwa muhalifu?Risasi zote zile ni za nn?angeweza kusema za kuwinda,Zanibar kuna mbuga gani
 
Kiongozi kama Karume ni hatari sana.Mdogo wake Balozi Ali Karume alishawaambia kuwa huyu hafai lakini Mkapa akambeba na mbeleko ya chuma sasa anawatokea puani
Sijui Karume anatumia hekima gani ya kisiasa kuamua kumtetea shemejiye, ambaye ni hasimu wa CCM.
Ndio maana nilisema huko nyuma kuwa kinyago kilichofunika uso wa Uamsho ndo kinaanza kuondolewa na ukweli kujulikana.

Katika magazeti ya leo, mtoto wa Karume ambaye ni mwanasheria , anaunda jopo la kumtetea Himid kaika mashataka yake!!!
Hapo ndo ujue hili swala la Himid liko katika familia vile vile, na si la Himid peke yake.
 
Back
Top Bottom