"Sheria za zanzibar haziruhusu mtu kumiliki bastola" heeeeeee! Makubwa. Kumbe na sheria zao wanazo, jamuhuri ya muungano wa...... Sheria mbili tofauti, ambazo rais wa jmt hazigusi wala kupita kwake. Safiiiii
Sijui Karume anatumia hekima gani ya kisiasa kuamua kumtetea shemejiye, ambaye ni hasimu wa CCM.
Ndio maana nilisema huko nyuma kuwa kinyago kilichofunika uso wa Uamsho ndo kinaanza kuondolewa na ukweli kujulikana.
Katika magazeti ya leo, mtoto wa Karume ambaye ni mwanasheria , anaunda jopo la kumtetea Himid kaika mashataka yake!!!
Hapo ndo ujue hili swala la Himid liko katika familia vile vile, na si la Himid peke yake.
Na ndio maana hawatakwepa wote kuingizwa shimo la giza linalowasubiri Uamsho, kwa vile walikuwepo ilipoasisiwa.Ni haki ya mtoto wake Karume kumtetea mjomba wake ndugu wa mama yake na vile vile mume wa shangazi yake.
Ni haki ya mtoto wake Karume kumtetea mjomba wake ndugu wa mama yake na vile vile mume wa shangazi yake.
Mmmmh sasa mbona hapa sipaelewi, same person ni mjomba na mume wa shangazi? Inamaana wameinterchange varables?
Yawezekana vp nchi moja kukawa na upande waruhusiwa kumiliki kisha upande mwingine ukawa hauruhusiwi? huo muungano hapa uwapi?
Tafadhali soma post yangu #47
..tumechoka kufuga majambazi.
Sasa waziri wenu wa CCM tena unamwita jambazi?Himidi ni jambazi polisi wachukue hatua za kisheria hakuna kumchekea tumechoka kufuga majambazi.