Karudi kuomba msamaha baada ya miezi miwili je nimsamehe?

Karudi kuomba msamaha baada ya miezi miwili je nimsamehe?

Mi mwenyewe nina kisa kama hcho nakusubr wewe uamue, ukimsamehe na mimi nasamehe, ukimlia ngumu na mimi namlia ngumu, ukimla papuchu na mimi namla, ila ukikataa papuchu au kupelekana kupima hapo ndo tutatofautiana mkuu
 
Tuambie sababu za yy kuchepuka ili upate ushauri wa kutosha.

Unaelezeaje tatizo juujuu kwa watu wazima...
 
Nilikuwa na mwanamke wangu baada ya kugundua anachepuka tu nikamtema na kukataa mawasiliano yote na yeye, marafiki zake, na familia yake.Baada ya miez miwili , kantafuta jana magetoni analia anaomba turudiane nikamtazama sikusema chochote nkamtoa nje nkamwacha analia nkasepa zangu


mnanishaurije wadau nimsamehe au nimuulie ngum?.
Ulimtoa nje bila kumtafuna!?
 
ulipaswa kuwa umemsamehe siku ile ile..
ila suala kurudiana nae ndio habari nyingine kabisa hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom