Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

Nov 23, 2011
45
17
Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili kwani watoto walikaa shule temu mbili tu na wiki ya kwanza ya temu ya tatu wakamaliza shule.

Malipo ya mtoto wa darasa la saba kwa mwaka huu yalilipwa kama ifuatavyo;

temu ya kwanza laki tisa,
temu ya pili laki nane na
temu ya tatu laki nane.

Ada hii ni kubwa sana na inazidi hata baadhi ya ada za shule za binafsi za sekondari. Kimsingi hizi shule hazitoi huduma bali zinafanya biashara. Tunaomba sana serikali na mamlaka husika ifuatilie hizi shule binafsi kwani zinaumiza sana Watanzania. Pia tunaomba serikali itoe bei elekezi kwa hizi shule.

Nina imani na serikali ya rais ​Magufuli kuwa itashulikia swala hili mapema iwezekanavyo kabla ya mwaka huu kuisha.
 
Hizi shule ni za mamlaka husika. Magufuli kagwaya hata kutoa waraka mpya wa ada elekezi ambao ilikuwa utolewe tarehe 15/12/2015. Jipu hili limemshinda Magufuli. Usikute naye ana shule.
 
gharama ya kumsomesha mtoto elimu ya shule ya msing kwa tz ni kubwa kuliko kusomesha chuo kikuu!!! This is amaizing na wahusika wachukue hatua mapema
 
Hawa Trust St. Patrick wangalie vizuri ata ada ya secondary yao ya wavulana nayo ni kizungumkuti wamepandisha.
 
Unasumbuka buree tu utaumiza kichwa huku kwa bure hakuna kitu ww walimu wengi siku hizi wana mikopo na wanasomesha watoto na ndugu zao ktk skuli za kulipia kaaa usubiri Ada elekezi Sawa?
 
USHAURI MNAMISHIE MWANAO SHULE YA SERIKALI NI BURE MWAKANI
=> NA PIA UKIONA ELIMU NI GALI JARIBU UJINGA !!
=> URITHI WA MTOTO KWA SASA NI ELIMU ukiona st kayumba ni urithi tosha JARIBU
 
Kuna aliyekulazimisha kupeleka mtoto hapo. Ndio maana kuna vx v8 na corolla, kama mfuko hautoshi sepa.
 
Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili kwani watoto walikaa shule temu mbili tu na wiki ya kwanza ya temu ya tatu wakamaliza shule.

Malipo ya mtoto wa darasa la saba kwa mwaka huu yalilipwa kama ifuatavyo;

temu ya kwanza laki tisa,
temu ya pili laki nane na
temu ya tatu laki nane.

Ada hii ni kubwa sana na inazidi hata baadhi ya ada za shule za binafsi za sekondari. Kimsingi hizi shule hazitoi huduma bali zinafanya biashara. Tunaomba sana serikali na mamlaka husika ifuatilie hizi shule binafsi kwani zinaumiza sana Watanzania. Pia tunaomba serikali itoe bei elekezi kwa hizi shule.

Nina imani na serikali ya rais ​Magufuli kuwa itashulikia swala hili mapema iwezekanavyo kabla ya mwaka huu kuisha.

"If you think education is expensive, try ignorance" by Mwl JK Nyerere
 
R

Nendeni mkasome shule za umma
 
umelazimishwa kupeleka mwanao huko au kihere here chako.alafu unalalamika hapa
 
Kuna mijitu imezaliwa sijui tarehe ngapi? Kwani wewe, kuna mtu alikwambia hiyo shule kajengewa mwanao na mbichwa wake mgumu kuelewa?

Hebu niondokee hapa, mpeleke Yusuf Makamba Secondary School Mabibo Daslam
 
Kama huwezi kulipa hiyo ada ondoka tuu na mwanao utuachie tunaoweza kulipa tulipe....Kwani St Patrick walikufwata nyumbani wakaomba uwapelekee mwanao??
 
Back
Top Bottom