#COVID19 Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

Science ipo na iyakuwepo. Magonjwa yapo na yataendelea kuwepo. Mnataka watu wote tuamini kitu kimoja kwani lazima? Tumekuwa robots? Hata robots ziko za iana tofauti tofati.
Halafu ole wako ufe maana ukifa dunia itasema umekufa na Covid. Kama watu hawajawahi kufa before
Halafu utakuta na wewe una ndugu wanakutegemea

Na chanjo zote za utotoni ulipata

smdh
 
Hizi hoja ni tofauti kabisa na ulichoandika awali.

Kama unaendekeza ubishi baada ya kuelimishwa, unaruhusiwa kukataa chanjo. Unaruhusiwa kuvuka barabara huku umefumba macho.

It is your funeral.

We will be getting rid of one more fool and all his/her future descendants from that point on.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Halafu utakuta na wewe una ndugu wanakutegemea

Na chanjo zote za utotoni ulipata

smdh

Nani kasema nina shida na chanjo?Kwanini mnalazimisha sana sasa hivi? Kunani? Acha kila mtu afe kivyake. Najua wenye chanjo watakuwa mita 3 maana hawaambukizi wengine. Kina siye mita 6 zetu kama kawa😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom