Karimjee ni maalumu kwa ajili ya misiba ya kitaifa? Historia yake ikoje?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,686
46,373
Huwa naona shughuli zote za misibia mikubwa zinafanyiwa ukumbi wa Karimjee.

Huu ni ukumbi maalumu kwa ajili ya misiba ya aina hii au hakuna ukumbi mwingine mzuri wa kuuzidi kwa shughuli kama hizi hapa jijini Dar es Salaam?

Unamilikiwa na nani huu ukumbi?

Historia yake ikoje?
 
Update .....

Kati ya Membe na Lemutuz naona Lemutuz ametrend Sana kumzidi membe kwenye social media hbr za lemutuz zinauliziwa mno na kufatiliwa Zaid

Hakika huyu mwamba alikuwa maarufu Zaid na aliishi maisha yake

Namnukuu , "These case is closed " boma yee boma liwazaa "
 
Nitafute Tena mm au Ni ndugu ndio watafute
Inabidi uwatafute ukiwa hai.
Jinsi unavyoishi na watu ndivyo itaamua idadi ya watakaokuja kukuaga.
Msiba hauna mualiko chief.

Japo kwa watu maarufu ni unafiki na kuuza sura zaidi ndio kunawapeleka kuaga.
 
Tatizo una watu wa kuja kukuaga hapo Karimjee??

Wengine tukifa zaidi ya ndugu zetu na majirani hakuna hata atakaejua.

Nahisi ni pesa yako tu kupata ukumbi, wa kukuaga utafute mwenyewe.
Kaka toxic..... Usinichukulie poa Kaka mkuu Nina watu kwa Kweli ukumbi utatapika mm Ni mtu wa watu na watu wananikubali mno ,siyo lzm iwe hapa Ila huu mtaa Ninako ishi Nina watu kwa Kweli wapataa elf 3000 je hawatatosha kuingia mle ndani !
 
Kaka toxic..... Usinichukulie poa Kaka mkuu Nina watu kwa Kweli ukumbi utatapika mm Ni mtu wa watu na watu wananikubali mno ,siyo lzm iwe hapa Ila huu mtaa Ninako ishi Nina watu kwa Kweli wapataa elf 3000 je hawatatosha kuingia mle ndani !
Wengine tukifa zaidi ya ndugu zetu na majirani hakuna hata atakaejua.
Sijakuchulia poa kabisa kaka. Nilijiongelea binafsi. Maana hata sitaki kujidanganya kuwa kuna mtu wa mbali nisiemjua atakuja kuniaga. Najijua sina umaarufu wa ku command waagaji wa kujaza ukumbi.

Ni vyema kama unakubalika kaka. Ila hakikisha iwe unakubalika kiupendo kiasi cha watakaokuja kukuaga waje kwa majonzi na sio furaha ya kuhakiki kama umeondoka kweli.

Kumbuka si kila kelele ni ya kushangilia, nyingine huwa ni kuzomea pia.
 
Ukumbi wa Karimjee ni mali ya serikali. Una historia kubwa kwa kuwa Hayati Baba wa Taifa alikula kiapo cha kuwa Rais wa kwanza.

Ukitaka nenda kaukodi. Kama kwa siku hiyo hakutakuwa na shughuli basi kheri kwako na Marehemu wako.
 
Back
Top Bottom