Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,924
- 133,969
Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni.
Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
Alipigwa ngumi moja tu pambano lililopita hakuamka TenaRecord yake ikoje huyu mwamba, ana vitisho vizito mno.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kama jamaa alivyoeleza hapo juu. Kupigwa kwake tena ndio brand itakuwa zaidiKimasihara mandonga amepata umaarufu kuliko yule aliyempiga
ameweza kujibrand
Mandonga amekuwa dili watu wengi wanataka kumsikia hawajali atashinda au atashindwa
Nampongeza kwa hilo
Alipigwa ngumi moja tu pambano lililopita hakuamka Tena



....Ha ha haaa!ulingoni, ukizingatia anayoongea!
Hata mimiNatamani huyu jamaa ashinde.
