kadakokigondile
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 1,872
- 635
Aaahhhh Sararrreeeee!!!!!! ipo sinza Afrikasana??
Karibu hap
Karibu hap
View attachment 111431 lol!aisee...
Avatar yangu inaongea zaidi.walaaa unaweza kaa mtupu hapo nisishtuke hata ilaa inategemea na ukoje ukoje mfano unalikitambi muwa umekaa kaa tuu haujasimama walaa hata sitingishiki. Naweza zubaa iwapo uko masculine, muwa hata kabla haujasimama unaita yaani unakuwa umekaa stiff na si kama bamia halafu uwe chocklate colour flani hv mmmh hapo naweza tabasamu usoni huku nikikutazama kwa kurembua au nikakwepesha macho na kula kucha................... (it does not apply kwa wote)
Avatar yangu inaongea zaidi.
Utamuweza Heaven on Earth kwa vituko, hapo anasubiria nimalize kuchana nywele akanivishe nguo alizoandaa yeye.Hahahahaaaaa haya bana nimekubali ila yule dada kule anaonesha huzuni kama umemuignore flani si kuwa anakutizama kimahaba....................
Utamuweza Heaven on Earth kwa vituko, hapo anasubiria nimalize kuchana nywele akanivishe nguo alizoandaa yeye.
Ndiyo maana kila siku haishi hamu.
Mkuu mbona nimeukuta kule jukwaa la wakubwa?