harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Njoo pm uniambie baada ya vitunguu nn kilifuata bibie ata mm nataman kula ilo pilau ila nililopika mwenyewe [emoji846]Hello leo jirani yangu alikuwa ana birthday ya mwanae akaniomba nimpikie pilau.
Fuata nami [emoji39][emoji39]View attachment 1441811
mama wawili
Iv nyama ina nini bibie! Nmetoka job najua home pamepikwa nyama ila nimepitia mahali nile nyama ndio nifuate za nyumbani [emoji2]Nyama jamani nyamaaa acha niwe mroho tu hakuna namna
Hii pilau niliisikia mchana inanukia. Kumbe ni wewe ndo ulikuwa unapika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama wawili asante kwa pishi.
Raha ya mapishi ukiweka msosi mezani kila mtu akusifue[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm uniambie baada ya vitunguu nn kilifuata bibie ata mm nataman kula ilo pilau ila nililopika mwenyewe [emoji846]
Ongera sana maana mpaka huku nahisi harufu [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani naweza kukukodisha ili unipikie pilau la Eid kwangu?Kabisa.
Nikiweka matako chini huwa nahakikisha sikosei [emoji39]
Lini unapika nikuje kula?Asante linatamanisha.
Weka hatua ya pishi lako pls.
[emoji23]si unaona mambo hayo ssJirani wakati wa kukaanga kabla sijaweka mchele nilikula kama 4 hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena zilizonona.
Hiyo pilau anakula tu mjomba (kidogo)Karibu mtanesco umbebee na mjomba
Uliimarinate vipi mamii?Nilianza kwa kukaanga vitunguu naji, vikawa brown nikaweka nyama niliyomarina4mte nikakaanga ikakaangika nikaongeza maji kiduchu tu ili nyama ilainike. Nikakaanga kaanga nikatoa.
mama wawili
Nyama inalimbwata original usilolipata kwa mganga[emoji23][emoji23]Iv nyama ina nini bibie! Nmetoka job najua home pamepikwa nyama ila nimepitia mahali nile nyama ndio nifuate za nyumbani [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Napika kila siku mimi....karibu hata leo namalizia.Lini unapika nikuje kula?
Githeri tamu sana aisee.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wengine cc tunakula gither
stidy
Kizuri kula na nduguyo, asante tumekula japo kwa macho tu.Nimekusahau eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua udenda muhimu.