Haahaaa tutaliangalia hilo mkuu, lakini siumeona kutakuwa maakuli? Naweza kuzubaa na mpunga
lara 1..tuache utani bana na hamu ya kukuona una look vipi balaaaa ...daaaa hiyo fursa nikiipata one day ntajishauaa acha kabisaa.Hahahahaaaaaaa!!!!!!! Acha umbeaa!!!!!!!! Kuna Lara Williams zaidi ya laki 5 duniani! The question is Lara Williams yupi?
NJOO WHITE PARTY!!!! Nimpo pale LIVEEEEE KIDIGITALLY ZAIDI BILA CHENGA!!!!!
pamoja sanaaaaa... tuombe uzimaa, ingawa nahisi chenga lol sio wewe ulisema utakuja na ID nyingine kweli???
Nitakuja lakini!!!!!!! The bottom line is lazima niwepo either kwa Fake ID au hata naweza Kuja kama Ciello kwani nani ananijua????????