Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa mjini,nimezaliwa mjini..wao Ni wahee..but sijui kabisa kuongea...so karibuni Kila mtu azungumze lugha yake ya asili..naanza KAMWENE??
Ayi biso tobuka bic mua kala, nani akolinga biso eh? tika tokosa ata kokosa nga nazali gradue, nga nazali licencie, nga nazali ingenieur, po balinga nga.
Tulizaliwa mjini lakini tuliishi sana na bibi, babu alikufa mapema hivyo bibi kuondoa upweke alizunguka kwa watoto wake. Hakujua Kiswahili kabisa hivyo ilitusaidia kujua kilugha