SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,111
- 75,566
Huyo samaki vepe mbna kafunikwa
Siyo samaki hayo ni makinikia ya samaki, samaki keshaliwa kitaaaambo tu.
Huyo samaki vepe mbna kafunikwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Maisha ya kuigiza hatari.
Mtaigiza sana.
Maskini Nyie mpendao maisha ya kuigiza. Mnajidanganya wenyewe sisi tuna safisha macho na maisha yana songa