Dereva wa Kirikuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 751
- 624
Salamu kwenu nyote..
Goba ni Eneo ndani ya wilaya ya Kinondoni linaloendelea kwa kasi, vijana wenzangu tuungane tujenge miji/boma zetu Goba.
Viwanja vipo vya size tofauti utakayo hitaji kwa matumizi binafsi(biashara,makazi etc)..
Mji wa goba unakua kwa kasi ya ajabu mfano mimi nilinunua kiwanja cha 25mx25m kwa 850k 2007, lakini sasa kina thamani ya 12m..
Wekeza kwenye ardhi hutojutia hata siku moja..
Kazi njemaa..