Karibuni tuambiane ukweli kuhusu ulimwengu

Karibuni tuambiane ukweli kuhusu ulimwengu

hivyo ndivyo mimi ninavyoamini kwa sasa. Na si kwamba hatujui na hatutaki kijua...kujua tunataka lakini hatuwexi sababu ya uwezo tulio nao una kikomo. Ni sawa na ukiwa umeangalia mbele utaona vya mbele, utaona mbele tu na sio nyuma. Kwa hiyo kutokuona kwako nyuma hakutoi uhalisia kuwa nyuma yako kuna vitu. Hadi uvione ni lazima ugeuke. Sasa uwezo wa sisi kugeuka na kuyaona yaliyonyuma ndo bado labda siku zijazo...
Tatizo ni kwamba unachukua au kukubali ile dhana/imani ya dini kwamba kuna mungu na ndiye aliyetuumba na kuumba huu ulimwengu,lakini baada ya hapo unaona hakuwezekani kujua kuhusu huyo tunasema yupo na ndiyo muumbaji.

Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wao hawaoni sababu za kuamini kwamba kuna mungu au kuweza kujua kuwa mungu yupo au hayupo.
 
Back
Top Bottom