Karibuni tuambiane ukweli kuhusu ulimwengu

What matter is kuweka mazingira salama,hilo ndo jicho langu linavyokiona kifo.
binadamu tunajihesabu kimoja namaanisha pekee lkn mazingira yanatuangalia kuwa material fulani,still yapo hata kama akifa mmoja au mia but laki moja bado wapo!,and that why ktk kuprotect viumbe wasipotee wote kuna mabara endapo kukitokea uvamizi wa chochote kwa watu wa bala fulani but nawengine wapo watasambaa tena.. binadamu pia ni mlinzi wa dunia.

Nikiangalia kuna nyota nyingi sana ambazo ni kama jua letu,naweza sema yeah kuna viumbe wengine aidha wanafanana nasi au hawafanani nasi.
 
Watu mmesoma maelekezo kwanza kabla ya kuanza kujibu hayo maswali au mnajibu tu?
 
Mkuu umetupa wakati mgumu kwa sababu ya msimamo wako hutaki conspiracy theories unamaanisha kuna mtu/watu wameshakuta na Mungu mubashara? Kufa Kisha kufufuka na akili zao sawia bila hitirafu? Inaoneka umewahi toka duniani na kupiga misire huko nje na hao jamaa zako aliens? Sasa mkuu kwanini usitupe elim juu ya masuala hayo matano? Inaoneka unamengi umeyoshuhudia na kushiriki kama jina lako linavyoonekana.
Mkuu nataka kila mtu atoea experience ya maisha yake KUHUSU hii Dunia!
Kuna wengine waliona mambo!.tofaut so tunashare experience
 
Mkuu neno Mungu ni cheo ambacho mtu anaamua kukipa kitu fulani kinachoonekana au kisichoonekana na kukiamini kuwa chenyewe ndio mwanzo wa kitu fulani(uhai ama kila kitu),hasa vitu hivyo huaminika kuwa na nguvu fulani.
ktk kuchanganua kuna miungu wengi,ndio maana binafsi huwa siwaelewi wale wasemao Mungu wa dini fulani ndo Mungu wa dini fulani wkt kunatofauti..
Dhana ya mungu ni dhana iliyotungwa na binadamu aidha kujifariji ama watu fulani kutawala watu fulani au misingi ya kiutamaduni!..
kumbuka sipingi neno Mungu!,kwasababu ni cheo tu.. lkn dhana za Mungu waliopo(waliopewa cheo).
Mkuu binafsi sioni kifo kama kina siri!,bali ni utimilifu wa mazingira.
tunasahau kitu fulani badala ya kusoma mazingira tunasoma hisia zetu!.. viumbe huogopa kifo na ndio maana hujiprotekti na mazingira hutulinda lkn kifo ni lazima kitupate!
viumbe wakiwa wengi kwenye mazingira na mazingira yakishindwa kutubeba it means mazingira yataharibika na viumbe wenyewe wataharibika!,so kifo kinaumuhimu ktk mazingira lkn what matter....
Safi sana!.
Endelea kushusha Nondo!.
Hapa nataka kila mtu atoea experience yake KUHUSU ulimwengu
 
Mkuu wewe unayo dini?!
Unaamini katika Mungu yupi?
 
What matter is kuweka mazingira salama,hilo ndo jicho langu linavyokiona kifo.
binadamu tunajihesabu kimoja namaanisha pekee lkn mazingira yanatuangalia kuwa material fulani,still yapo hata kama akifa mmoja au mia but laki moja bado wapo!,and that why ktk kuprotect viumbe wasipotee wote kuna mabara endapo kukitokea uvamizi wa chochote kwa watu wa bala fulani but nawengine wapo watasambaa tena.. binadamu pia ni mlinzi wa dunia.

Nikiangalia kuna nyota nyingi sana ambazo ni kama jua letu,naweza sema yeah kuna viumbe wengine aidha wanafanana nasi au hawafanani nasi.
Unadhani yapo maisha baada ya kifo?!
 
Mkuu nataka kila mtu atoea experience ya maisha yake KUHUSU hii Dunia!
Kuna wengine waliona mambo!.tofaut so tunashare experience
Sawa mkuu ngoja tusubiri wenye tajiriba juu ya ulimwengu na uliyouliza... Sie wengine bado wadogo ngoja tujifunze kutoka kwenu wazee/wenye umri mkubwa.
 
Mimi nilikuwa nikipenda sana kusoma biblia wakati nikiwa mtoto mdogo hadi wazazi wangu wakawa wananipa sifa na kunisihi niendelee hibyo hivyo hadi ukubwani. Sasa wakati nikienfelea kusoma na umri ukikua nikawa napatwa na mashaka kuhusu kile kitabu kitakatifu. Kwa mtazamo wangu, kile kitabu naona hakimuelezi mungu kama ambavyo naamini yupo (mimi naamini kuwa mungu yupo, kwa maana ya kwamba kitu au nguvu iliyounda ulimwengu na kuuweka mahala pake). Lakini pia nakiri kuwa biblia ni kitabu kizuri sana katata upande wa kuijenga jamii katika kuishi katika muingiliano wa wao kwa wao lakini kina mapungufu katika muongiliano wa watu na mungu.
Mimi naamini kuwa mungu aliumba ulimwengu kama sehemu ya sanaa kwake na hahitaji jambo lolote kutola kwetu na hawajibiki kwa lolote kwetu kwa sasa ni kwa sababu aliweka kanuni tangu mwanzo na kupitia hizo kanuni ndizo zinaongoza mambo yoote hadi sasa.
Hapo kwenye blue mkuu ni kipi kinakufaya uamini hivyo ni dalili zipi zina support hivyo unavyoamini.
 
Mimi nilikuwa nikipenda sana kusoma biblia wakati nikiwa mtoto mdogo hadi wazazi wangu wakawa wananipa sifa na kunisihi niendelee hibyo hivyo hadi ukubwani. Sasa wakati nikienfelea kusoma na umri ukikua nikawa napatwa na mashaka kuhusu kile kitabu kitakatifu. Kwa mtazamo wangu, kile kitabu naona hakimuelezi mungu kama ambavyo naamini yupo (mimi naamini kuwa mungu yupo, kwa maana ya kwamba kitu au nguvu iliyounda ulimwengu na kuuweka mahala pake). Lakini pia nakiri kuwa biblia ni kitabu kizuri sana katata upande wa kuijenga jamii katika kuishi katika muingiliano wa wao kwa wao lakini kina mapungufu katika muongiliano wa watu na mungu.
Mimi naamini kuwa mungu aliumba ulimwengu kama sehemu ya sanaa kwake na hahitaji jambo lolote kutola kwetu na hawajibiki kwa lolote kwetu kwa sasa ni kwa sababu aliweka kanuni tangu mwanzo na kupitia hizo kanuni ndizo zinaongoza mambo yoote hadi sasa.
Dadavua mkuu!.
Wengine wazidi kuelewa
Hususani hapo kwenye Sanaa!. Wengi utawaacha wazi
Je,hakutakuwa Na hukumu mwisho wa siku?
Je,kuna maisha Na ni nini Siri ya kifo?
Je,bado una misimamo Na dini?
 
Upo sambamba na fikra zangu mkuu "Chelu" kwamba Mungu huyo wanaemmaanisha yeye hajishughurishi tena na mienendo ya wanadamu na viumbe vingine. Hivyo kufanya wanadamu na viumbe vingine kuenenda kulingana na kananu alizotoa baada ya sanaa hii ya ulimwengu kukamilika. Kanuni ambazo tunapaswa kuzifuata ni uhalisia wa mazingira, vitabu vya dini pamoja na mawazo yetu tunayoyaumba kutokana na uhalisia pamoja na mafunzo ya kidini.
 
Dunia ipo na itaendelea kuwepo. Binadamu wapo na viumbe wengine(wote wanao onekana). Mother Nature imetuweka hapa,ndiyo itakayotupa chakula,dawa,hewa safi,vivutio vingi vya kufurahisha na kukupa furaha. Hakuna unachopaswa shindwa kufanya isipokua usiudhuru mwili kwa vitu ambavyo havikuwekwa na mother nature ili uyafurahie maisha mpaka dakika ya mwisho ya pumzi yako.

Pia amani na wenzako ni muhimu,usibebe chuki, just love everbody kuwa huru, nenda popote pale kwenye dunia nature will support you.
Ila usiruhusu kufungwa kamba ya ubongo kwenye maisha,uishi kwa hofu na kubabaika hadi mwisho kwa mawazo ya kiumbe ambaye wote mliwekwa naye duniani. Usijihukumu,achana na kasumba zakijinga na uweke akili yako huru. Kwani usipofanya hivyo utakua mtumwa wa fikra hadi mwilini mpaka mwisho wa maisha yako.
 
Back
Top Bottom