sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Hahahah, utindile mhola.Hahahahaaa atakuwa ndugu yangu huyoo, si unajua matokeo ya asali na karanga hehehee.
Hahahah, utindile mhola.Hahahahaaa atakuwa ndugu yangu huyoo, si unajua matokeo ya asali na karanga hehehee.
Hata sijui anaitwa nani mie huwa naupenda sana huu wimbo, pale unapopigwa nikipata nafasi ya kuucheza naucheza vizuri huku nikiringa na kujinyonga kinyamwezi hahahahahaha raha sana.
I love being nyamwezi.
Huyu anaitwa Babu Njenje au kwa wengi wetu Mzee Njenje.
Namfahamu kwa miaka mingi ila sijui hata jina lake haswa anaitwa nani.
Kumbe wewe Ni Mwanike wa Kukaya. Mie bahati mbaya si mwenyeji wa Tabora Mjini zaidi ya kupita na kwenda kwetu Sikonge ambako siku hizi mitaa ina LAMI eti. Mitaani kwa akina Mwana Nasorro WIZAGA aka Said Tumbotumbo (RIP).
Asante kwa kuturusha Mkoa wetu wa Tabora.
Nani wamleta, M**** nina kumlye Masumle.... Wanyamwezi sometimes tuna matusi. Mwinamila hapo juu naona aliona aupoze maana Original ni laana tupu. Ukangala ulegezya.... nini wanaimba?
Ooooh. Nafurahi kusikia hivyo jamini mie mtoto wa Conte.. Yani hapa hadi nguvu zimeniisha mwili umenyong'onyea for your nice words, sweetest and tender from the warm voice rendering whispering in my ears.....jamani mahabati yamenishika mie kwa Kasie au @Kasindye Leo nitaita na mizimu yetu migabo...na maswezi
Huyu anaitwa Babu Njenje au kwa wengi wetu Mzee Njenje.
Namfahamu kwa miaka mingi ila sijui hata jina lake haswa anaitwa nani.
Kumbe wewe Ni Mwanike wa Kukaya. Mie bahati mbaya si mwenyeji wa Tabora Mjini zaidi ya kupita na kwenda kwetu Sikonge ambako siku hizi mitaa ina LAMI eti. Mitaani kwa akina Mwana Nasorro WIZAGA aka Said Tumbotumbo (RIP).
Asante kwa kuturusha Mkoa wetu wa Tabora.
Nani wamleta, M**** nina kumlye Masumle.... Wanyamwezi sometimes tuna matusi. Mwinamila hapo juu naona aliona aupoze maana Original ni laana tupu. Ukangala ulegezya.... nini wanaimba?
naingojeaje hiyo sikuHahahahahhahahaaa asante kunitungia wimbo, bahati iliyoje. ....
Usijali iko siku tuu.......
Kasie mizimu lazima niite nikutambulishe wakujue, utembeapo wawe na wewe, wakurunde, wakusaidie. Vumilia hivo hivo ata km huzipendi ngoma zetu lkn ndio kwetu mupenzi wangu.Hahahahaaa wewee usiite hiyo mizimu, mizimu ya kinyamwezi ni wakali mnoo na zile ngoma zao za madogoli mie sizipendagi kweli.
Haya ulale unono.
Mkuu, mtaa wako ni upi?
Sikonge madukani kwa kina Hemed NassoroMie wa SIKONGE na inatosha. Hahaha... ngoja nipunguze kidogo, kwetu ni USUPILO
Si mbali na hotel au Investments ya YONGOLO. Inatosha kwa sasa.
Sasa ukishuhudia waswezi ndy balaa na nyimbo zao.
Sikonge madukani kwa kina Hemed Nassoro
Sawa mkuuMie wa SIKONGE na inatosha. Hahaha... ngoja nipunguze kidogo, kwetu ni USUPILO
Si mbali na hotel au Investments ya YONGOLO. Inatosha kwa sasa.
Bila shaka umesoma Mbirani Primary School.Sikonge madukani kwa kina Hemed Nassoro
Great...Huko nipo Kibiashara zaidi. Ila kulala ni Usupilo. Nawaachia Madukani yao na fujo za Mabar kwa Mbunge Nkumba et el.
No nimesoma kitete hapo bomani mjiniBila shaka umesoma Mbirani Primary School.