Karibuni Tabora asali inakotokea

Karibuni Tabora asali inakotokea

Hehehehehehehee na siku ukifanikiwa kuniona nacheza hutochoka kunitazama na hutotaka kuacha kuniangalia mara kwa mara nikiwa nacheza....... maana huwa nacheza kuanzia ndani kisha movement zinazotokea nje nini auto hata mie mwenyewe huwa najishangaa.
Mmmh,mkuu nimekupenda automatically
 
Asali ya Tabora imejaa Tumbaku.

Ni kweli kanali, na imeshuka sana bei na thamani kwenye soko huko duniani. Fatiki ya kupanda miti imeanza ili kurejesha asali asilia tamuuuuuu isiyo na nicotine.
 
Hahahahahahahaaa looh Antonio, sema polepole usisikiwe. ...... ni hatariii.
Kasie wacha nseme tu kwa sauti mana moyo wangu unaweza kupata ahueni kutokana na haya mapendo niliyonayo kwako. What is joy to love you jamani
 
Hiyo picha kama ni yako, basi unafanana sana na mmama flani alikua mkuu wa chuo cha FDC. Anaitwa mama Kanoni.

Aahahahahahahahaaaa looh

Nimefurahi, wazee wa kinyamwezi si unawajua lakini.......

Huyo wa kwenye avatar ni mimi.
 
Kasie wacha nseme tu kwa sauti mana moyo wangu unaweza kupata ahueni kutokana na haya mapendo niliyonayo kwako. What is joy to love you jamani

Hahahahahahahaa wee Antonio wewe acha fujo na uchokozi.
Nashukuru kwa wewe kuwa na furaha kwa kumpenda Kasie, nami nafurahi zaidi.
 
Aahahahahahahahaaaa looh

Nimefurahi, wazee wa kinyamwezi si unawajua lakini.......

Huyo wa kwenye avatar ni mimi.
Nawajuaa ila nahisi mzee wako alicheza foul, nimechukua kapicha kako ntamtumia akaone yaani copyright
 
Nawajuaa ila nahisi mzee wako alicheza foul, nimechukua kapicha kako ntamtumia akaone yaani copyright

Hahahahaaa atakuwa ndugu yangu huyoo, si unajua matokeo ya asali na karanga hehehee.
 
Sanaaa wee ifanyie utafiti utaona..... yaani aidha uzao wako uwe unawapa lishe ya asali na karanga mara kwa mara au wewe mwenyewe ili ukija kupata uzao wako..... aaah utahimili mizigo ya kila aina.
Naanza hiyo dose asap alaf tufanye test kama nitakuweza ....Daah!! kasie weyee
 
Hahahahahahhaa uwe na amani na utulie Antonio huko uliko, Kasie amefurahi kupokea pendo lako, si wajua vile naitwaga. .......

Kasie Mahabat Mahaba.

Basi shaka ondoa.
Ooooh. Nafurahi kusikia hivyo jamini mie mtoto wa Conte.. Yani hapa hadi nguvu zimeniisha mwili umenyong'onyea for your nice words, sweetest and tender from the warm voice rendering whispering in my ears.....jamani mahabati yamenishika mie kwa Kasie au @Kasindye Leo nitaita na mizimu yetu migabo...na maswezi
 
Back
Top Bottom