Karibuni Tabora asali inakotokea

Karibuni Tabora asali inakotokea

Hahahahahaa kumbe wewe ni mnyamwezi mwenzangu hehehehehehee mwangalukah! Ulimholaaa. ....

Kwetu ni karibu na Itigi unatembea kwa miguu tuu.

Wamilemoo Nokia.

Naomba ugeuke nikague mali
 
Afu madam miaka yote najuaga wewe mkenya ko hata article zako nazisomaga kwa tonic ya kiswahili ya Kenya kumbe we ndo mnyamwezi mwenyewe

Hahahahahhaa kwanini ukafikiri mie ni mkenya? Hivi hata maandishi yanaweza kumfanya mtu akatambulika lafudhi yake eeh....
 
Jina lako na namna unavyoandikaga nilikuwa nakuassume hvy madam
 
Tabora ni kubwa sana, kwetu ni karibu na Itigi unatembea tuu kwa miguu. Wewe je kwenu ni sehemu gani?
Kweli ni kubwa!! Mie nilizaliwa hapo kitete kwa marehemu baba yangu ni ng'ambo na bimkubwa wangu ilikuwa ni kota za chuo cha ardhi.. ila niliondoka bado mdogo saana baada ya mama yangu mzazi kuhamisjwa kikazi..

Ila itigi ni sehemu maarufu kichwani maana marehemu bibi yangu katika stori zake alikuwa akiitaja saana sehemu hiyo

Kwakuwa niliondoka mdogo tangu mwaka jana nilianzisha utaratibu wa kutembelea tabora, kuona maeneo ambayo ni chimbuko langu na kudhuru kaburi la marehemu baba yangu.. so kila ifikapo mwezi wa 10 nakiwa nakuja tabora kuanzia mwaka jana, kwa mwaka huu ndio nimerudi kama wiki 2 hv toka huko tabora

Na maeneo ambayo huwa naenda na kutembelea ni
Isevya, itetemya, national, ng'ambo, ipuli, kazima, mwanza road, kanyenye, pangale na urambo.
 
Huyo mzee hapo kwenye hiyo video hus anaitwa nani ? Ni mwana kilimanjaro band
 
Oooh safi sana, kote huko kuna ndugu zangu..... nikielezea sana ntaanika mchele upenuni. Mke huwa naenda kila nikipata off hata ya siku 3 maana likizo huwa nadakwa juu kwa juu hehehehe.
 
Na chemchem
 
Hahaa.. haina haja kuweka wazi, muhimu nimefurahi kumjua mtu ninaetoka nae sehemu moja.
 
Huyo mzee hapo kwenye hiyo video hus anaitwa nani ? Ni mwana kilimanjaro band

Hata sijui anaitwa nani mie huwa naupenda sana huu wimbo, pale unapopigwa nikipata nafasi ya kuucheza naucheza vizuri huku nikiringa na kujinyonga kinyamwezi hahahahahaha raha sana.

I love being nyamwezi.
 
Back
Top Bottom