Msolid boy
Member
- Dec 19, 2019
- 32
- 71
Pas p Mwana wa NgongiHuyo Pas P aliacha shule kidato cha 3 ili awe msanii mkubwa
Shule ya Msingi Huruma nilipita hapo darasa la 5 nikahama kwa wakati ule ilikuwa shule nzuri ikaonekana sipo vizuri kichwani maana nilikuwa nashika mkia. Sema mawardat nasubiri details chache nithibitishe kuwa ni wewe.Nipo uwanja wa ndege,s/m huruma
Naomba usikilizweMimi nimekaa mikoa 10+ ila ukiniambia sehemu gani bora niliishi basi nitasema songea japo sio kwetu.
Naona ukija safari hii hunt club patakoma. Sijawahi kuingia ila nasikia pazuri watu wana swimm tu kwenye poolNikiwa Home songea, napenda kutulia pale Krista park, au nikitaka ku refresh akili naenda zangu Ruhuwiko hunt club.
Hotel ya3
Huruma hawanaga maduduShule ya Msingi Huruma nilipita hapo darasa la 5 nikahama kwa wakati ule ilikuwa shule nzuri ikaonekana sipo vizuri kichwani maana nilikuwa nashika mkia. Sema mawardat nasubiri details chache nithibitishe kuwa ni wewe.
ke wa huko wako njema sana kunako 6*6. alisikika mtu mmoja😄😄Kuna mngoni nilidate ebwana sio fundi ila bwana anapenda ule mchezo hadi kero.
Cocastic ntafutie dd mmoja anaitwa Veronika Komba yuko Hapo town alimaliza Mkawa Complex 2005 HGLNoo yeye alikua 2005, ndo alianza 4m 1 hapo.
Ndo maana nkafutaa, haku kukuta
Siku hizi kuna wasanii wanaimba kwa Kimatengo kabisa🤣Pas p Mwana wa Ngongi
Weeeeee usiniambieChimpumu,,,hiyo ukinywa unavua shati mkuu,,, pombe yamoto kama chai
Tupia audio hata moja mkuuSiku hizi kuna wasanii wanaimba kwa Kimatengo kabisa
Usisahau mipira ya kujifunga miguuni gauge ikipandaKomoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Jana nilikuwa hapo, nikapiga mishkaki kadhaa... Now nipo seedfarm hapaKaribu lizaboni NYAMA za mbuzi, nipo hapa nakula mishikaki mida hii.
Mkuu hapo me nakamua zote kasoro hiyo Chimpumu tuUsisahau mipira ya kujifunga miguuni gauge ikipanda
Nyumbiibombii
Ninashindwa kuupload ila ingia Youtube search "sokoine madeni"🤣🤣🤣Tupia audio hata moja mkuu