Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
- Thread starter
-
- #221
Mkuu jana jioni nilikuwa pande hizo nikastua mbuzi kidogo. Nimeona nyumba za barabarani zimebomolewa na mipango mijiKaribu lizaboni NYAMA za mbuzi, nipo hapa nakula mishikaki mida hii.
Chandarua sec nimesoma apo mwaka 2006Nipo Zahanati kama unaelekea chandarua. Karibu
NaaamWangoni na wamatengo tuendelee kutiririka na uzi wetu..
Ni kweli kabisa mkuuNimesoma boys ,wangoni ni wakarim sana kama watu wa tanga
Vp hutamani kurudi tena mkuuChandarua sec nimesoma apo mwaka 2006
Lazima nirudi ndo Nyumbani mkataba kwao Mtumwa. Nyumbani ni mtaa wa Bombambili mtakuja au kidaliniVp hutamani kurudi tena mkuu
Nimemis ligambusa walahWakunyumbaaaaa mpooooo??? Mkujeee tutetemeshee uzi wetuu
Ligambusa ndo kyani chenicho??Nimemis ligambusa walah
Ngoma ya chingoni. Umanyii lizombeLigambusa ndo kyani chenicho??
Lizombe? Nilimanyili.Ngoma ya chingoni. Umanyii lizombe
Juzi Kati nimepita pale makaburi ya lizaboni,nikaona kabuli lenye jina lako !! Nikashtuka kidogo kucheki mwaka kwenye msalaba ni miaka mingi iliyopita!!Pazuri sana. Pamoja na kwamba nimezaliwa Kumbwani, huwa naenda nyumbani Parangu, Peramiho kwa baba na Likuyufusi kwa mama. Na nikabahatika kusoma A-level Songea Boys 2002 to 2004.
Kunyumba kwabwina mno!
Sehemu gani?Ahh Mimi wa Namabengo
Juzi Kati nimepita pale makaburi ya lizaboni,nikaona kabuli lenye jina lako !! Nikashtuka kidogo kucheki mwaka kwenye msalaba ni miaka mingi iliyopita!!
Kuna mngoni nilidate ebwana sio fundi ila bwana anapenda ule mchezo hadi kero.Vp mademu wanajua sana ule mchezo wa kitandani au kama ndugu zangu wapare tu
Mimi nimekaa mikoa 10+ ila ukiniambia sehemu gani bora niliishi basi nitasema songea japo sio kwetu.Huu Uzi unaonesha wilaya ya songea watu wengi sana wamepita kule either kwa kusoma au shughuli nyingine, Mimi pamoja na kuzurura kwangu miji ya watu lakini nikirudi nyumban songea nahisi kama Niko Los Angeles hivi, moyo wangu unakua na amani sana.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app