roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,707
- 2,885
Oyaaa Mimi mangi ila mama wa huko lizaboni na luhila!!Dah! Nyumbani ni nyumbani tu. Nimeyamisi maeneo ya litola, Namtumbo, Mgomasi, Nambecha kwa wakulima wa tumbaku dah! Mateka kwa mama sabena, Matogoro... Acha kabisa
Hahaha like matogoro juuuKwa kina Chimgege..
Umepasahau kimolo, ila mara ya mwisho kuja huko ilikuwa 2007. Ila childhood memory inanipa Raha Sananapita sana huko mkuu,,, matogoro, mabatini,makambi, seedfarm, luhiraseko🤩🤩
kimolo jamani,, ule mtaa acha tu😂😂😂😂Umepasahau kimolo, ila mara ya mwisho kuja huko ilikuwa 2007. Ila childhood memory inanipa Raha Sana
Wanasema kazi na dawa mkuuUnajiuliza hivi hawa vijana wanafanya kazi saa ngap?
Unakuta bata asilimia 90 huku kazi asilimia 10Wanasema kazi na dawa mkuu
Mbavu zanguUnajiuliza hivi hawa vijana wanafanya kazi saa ngap?
Hiyo ndo dawa yao mkuuUnakuta bata asilimia 90 huku kazi asilimia 10
Wewe upo mbinga? Nakuja hapo home desembaKaribu songea,
karibu mbinga,
karibu mbamba bay
Hivi kwao ni wapi mwarabu mmatengo yule?Aliumwa sana,hadi alienda kwao akarudi na aligia huku kazikwa makaburi ya misheni,
kumbe wa kunyumba (habari ja leleno)Tupoooooooooh
Kwabwina za mahengo gene? Mpwaga bhole? Kimatengo hikokumbe wa kunyumba (habari ja leleno)
Chemchem, madaba,Umepasahau kimolo, ila mara ya mwisho kuja huko ilikuwa 2007. Ila childhood memory inanipa Raha Sana
Ngasindo bambo habari ja masoba "habari ya kunyumba huko"Kwabwina za mahengo gene? Mpwaga bhole? Kimatengo hiko
Nakijua kiduchuuu, ila kingoni ndo nakikorogaa balaaa.
Nene nivi he kunyumba, nivi kumbwani huku naha.Ngasindo bambo habari ja masoba "habari ya kunyumba huko"
YesHahaha ule mtaa nyama na pombe za kienyeji
the bidhaaKaribu songea,
karibu mbinga,
karibu mbamba bay