Karibuni saloon yangu

Karibuni saloon yangu

ntakuja shoga tupige umbea lakini kurembwa mie akha! Napenda kutokelezea kiasili zaidi....
 
Na hawa je?

aun.jpg

IMG_8239.JPG

IMG_8326.JPG
 
farkhina usisahau mimi nimekubook mapema nina mtoko wa kwenda air pambamoto...natolewa out na Simplicity. this weekend!

Daaah! Sijui mmejuaje, natoka kwenda saloon sasa hivi. Naenda tu kunyoa nywele za kichwani zimekuwa ndefu mpaka zinanipotezea muda kuzichana. Kesho mimi49 na Heaven on earth, saa mbili jioni tuwe tumeshawasili. Nitawakumbusha nusu saa kabla. farkhina, are u coming along with them?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom