loh siji naona nitakuwa kituko...makeup artist we hufai...
mtumeee huyo si clown jamani na jiring la pua ka ngombe mi sitaki naenda kwa Heaven on earth akanipure sitaki hata kwa bure kupodolewa hivoo...7......
Nitakuja ikikaribia halloween...Hahahahaha shoati mbaya wewe hata kunipa moyo...alafu wewe nakupodoa bure njoo uko shoga angu
hii ni facial mask au?9.......
hii ni facial mask au?
mtumeee huyo si clown jamani na jiring la pua ka ngombe mi sitaki naenda kwa Heaven on earth akanipure sitaki hata kwa bure kupodolewa hivoo...
farkhina mbona watukimbiza wateja lol.......number 8Foundation ya blue iyo lol