Karibuni Ruangwa

Mkuu, mimi naishi Ruangwa na nipo exposed na dunia sana tu
 
Usimwite muongo, yeye ameelezea uzoefu wake kipindi ameishi miaka ya nyuma. Kama sasa ivi kumebadikika haimaanishi haikuwa na hali hiyo aliyosema. Ila tu amenikera anafikiri nyakati hazibadiliki yaaani amekariri rwanga ni ileile. Mm miaka ya 2012 nilienda rwanga kwenye msiba tukawa tunatafuta loji ya kulala asee tulikosa. Lkn najua saivi kutakiwa kumebadilika sana
 

Bro Rungwa hakuna La maan, kusini maendeleo ni 0
 
Ili swali waulize wazawa why wanakimbilia umachinga Dar na maeneo mengine
Mkuu utajaribu kutetea hoja yako ila utashindwa tu, maana nimeumbua uongo wako wote ulioandika na huna hoja ya maana sasahivi... utaishia kusema hivyohivyo mara maendeleo zero, mara wamepakimbia ila huna lolote.
Kila kabila lipo Dar, halafu uwepo wa watu wa Kusini huko Dar wewe unasema wamepakimbia... mkuu niamini, kujitetea kwa muongo aliyeumbuliwa ni kazi ngumu sana
Message Sent
 
Anatapatapa.... hawa ndo wale akisikia stori tu basi anakariri hivyohivyo na yeye anaipeleka kwingine

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Dunia ipi hiyo ya wamwera?au upo hapo mgodini namungo?

#MaendeleoHayanaChama
No no no no no, sipo mgodini, Big NO
Naomba tu uniambie mtu ambaye hayuko exposed na dunia vitu gani huwa anakosa, maana nilikuwa sijui kama kutokuwa exposed na dunia maana yake ni kuishi na Wamwera
Mkuu una akili fupi sana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Ingawa sipajui huko Ruangwa,ila huu mwandiko umeambatana na chuki.

Mkuu,km unetembelea sehemu nyingi hapa Tz utagundua maisha ya watanzania yanafanana Sana,yes tofauti zipo ila Ni ndogo Sana.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hili nalo Ni tatizo la mtazamo wako.

Hapa Tz karibia kila mkoa watu wake wamejazana Sana tu,mfano wachaga wamejaa Sana kimara,nao tuseme wamepakimbia Kilimanjaro kisa huko hakuna cha maana?

Alafu Kumbuka Lindi ipo karibu na dsm so mtu wa Lindi Ni rahisi kuja Dar kutafuta maisha maana Ni mji mkubwa,na miji mikubwa duniani kote watu hukimbilia huko hasa vijana ili kujikwamua na maisha.

Na ukisema kusini Kuna fursa ya mazao tu,hivi Tanzania hii ukiondoa mini mikubwa kama dsm,Arusha(utalii) na Mwanza biashara,miji iliyobaki Kama Moro,Iringa,Lindi,mtwara nk,nje na kilimo Kuna fursa gani zingine za maana? Tena ni Mara kumi Lindi na mtwara Kuna kilimo Cha mazao mengi mfn,msimu wa mbaazi,wa korosho,wa kunde na choroko,wa mahindi na mpunga,wa maembe (Sasa hivi embe za kusini zimejaa Dar),ambapo inapelekea angalau mzunguko wa fedha unakuwepo kulinganisha na mikoa yenye kutegemea zao moja Kama ndizi!!? Na ndiyo maana si ajabu kuona Lindi na mtwara zipo top ten mwezi huu December ya gdp per capital. Pesa angalau inakutana misimu ya mazao ipo mingi kulinganisha na mikoa/maeneo mengine.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, umeeleza vizuri sana
Pengine wewe atakuelewa
 
Ili swali waulize wazawa why wanakimbilia umachinga Dar na maeneo mengine
Hivi kuhama sehemu moja na kwenda kujitafutia sehemu nyingine ni kosa?
huna elimu wewe kima,Waha na wachaga wamekua wakihama makilomita kwenda kwenye mikoa yenya fursa.Shida ipo wapi hapo!!
 
So we umeona hii ni agenda kubwa?

Maajabu ni hoteli kujengwa na mkulima tena kijijini uko ila haibadilishi maana kuwa Ruangwa na Kijijini kuliko sahaulika
 
So we umeona hii ni agenda kubwa?

Maajabu ni hoteli kujengwa na mkulima tena kijijini uko ila haibadilishi maana kuwa Ruangwa na Kijijini kuliko sahaulika
We ulitaka wilaya iweje? Iwe na malls, supermarkets, hoteli za nyota tano au
Hiyo hoteli niliyotuma hapo ni kuumbua hoja yako ya kwamba wilaya nzima utatafuta sehemu ya kupoa hakuna. Sasa nimekuwekea hiyo uone, najua umejisikia vibaya baada ya kuiona hiyo hoteli sema basi tu

Kwa jinsi ulivyokuwa unaiponda Ruangwa haikuonekana kuwa Ruangwa ni sehemu ambayo ingeweza kuwa na hoteli kama hiyo, sasa hivi nakuonesha picha za hoteli unasema siyo ajenda kubwa.... mbona sasa ulisema hakuna sehemu za kupoa?
Nikikuambia akili zako fupi utanikatalia mkuu. Shida umeishi Ruangwa miaka ya tisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…