Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.Hamna lolote hata huko Kaskazini! Sema baadhi ya sehemu za Mkoa wa Kilimanjaro ndo afadhali zina unafuu! Unapotaja kaskazini huwezi kuacha kutaja Arusha! Pamoja na kelele nyingi za watu wa Arusha ambazo kelelele nyingi ni za Wachaga, lakini Arusha inaishia pale pale Arusha mjini na baadhi ya miji midogo michache! Ukienda huko vijijini umasaini nako ni umaskini mtupu! Hakuna cha maana wanachojivunia zaidi ya ng'ombe zilizokondeana huku wenyewe wakiishi kwenye nyumba mbovu ajabu! Unapotaja mikoa ya kaskazini huwezi kuiacha Manyara ambayo nayo ni umaskini mtupu!! Hizi kelele za hapa ni za kujikweza tu na nyingi ni Wachaga ndio wanaojiona wao ndo matajiri sana ingawaje ukweli ni majority na wenyewe ni maskini tu ingawaje wamejitahidi kutokomeza nyumba za majani huko vijijini!
Binafsi mtu hanidanganyi! Sehemu ambayo nilikuwa sijafika ni mikoa ya kusini na mwaka jana ndo nikapata hiyo fursa. Nilichokiona kule wala hakina tofauti na mikoa mingi ya Tanzania. Hawa wanaoponda usikute hata Kibiti hawakujui! Lakini kingine nilichogundua kuhusu mikoa ya kusini, hawa watu hawajajaaliwa sana hali ya hewa nzuri kama ilivyo mikoa ya kanda ya juu kusini au mikoa ya kaskazini magharibi! Kwa mfano hicho kijiji nilichokitaja, nimekuta shughuli kubwa inayofanywa na vijana ni kilimo cha nyanya, na zinawaingiza pesa kweli kweli! Hata hivyo, ukifika huko wanakulima nyanya, ukiangalia udongo wake unaweza kusema ni sementi iliyogandishwa kiasi kwamba kama ni mwaka wa jua kali, kilimo chake ni shughuli mzito kweli kweli. Hali hiyo ni tofauti kabisa na sehemu kama Morogoro ambako nako tulienda! Ukienda mahali kama Ifakara au Kilombero, unaweza kulima hata ekari 5 kwa urahisi kabisa lakini sio kwenye mfinyanzi nilioukuta kwenye kile kijiji!
Mkuu wakumbushe mradi mkubwa wa Bunu (Graphite) unaendelea kupitia Lindi jumbo project ki ufupi hawa jamaa wana Leseni kubwa ya uchimbaji (ML) means n mgodi mkubwa sasa tegemea makubwa hasa upande wa mzunguko wa kifedha...So far kuna mgodi wa Namungo uliopo kata ya mbekenyera nadhani wachangiaji wengi hawajawahi fika Ruangwa wanaisikia tuWatu wanaponda sana humu ila mi nabaki kuwacheka tu.Nimezunguka mikoa mingi sana maisha wanayoishi na hali ya kiuchumi kiujumla ktk sehemu nyingi hazina tofauti na maisha ya LINDI,kibaya zaidi sasa watu wao ni washamba sana hata matumizi ya hela hawajui wao kila kitu kwao ni kigeni.Jamani nendeni kanda ya ziwa huko mkakutane na wasukuma wana hela lakini wanalala chini, pia hela zao huweka ndani tu hawapeleki bank ili zikafanye mzunguko,nyumba zao sasa za tope..[emoji23]
Nendeni nyanda za juu kusini huko mkakutane na maskini wa kifipa,kinyakyusa,wasafwa...
Magharibi huko;mkakutane na waha maisha magumu,barabara mbovu,ngonja ngunja(vumbi la udongo mwekundu) basi taabu tu wanachojua wao ni ubishi,kuhama kwenda mikoa ya jirani na majungu[emoji23][emoji23]
Haya tuje kanda ya kati hapa ndio aibu tupu wilaya na vijiji vya Singida wanaishi maisha magumu,maji ya taabu,mzunguko wa hela ni mdogo pia kuna baadhi ya wilaya hazina hata stendi za magari za maana.
Dom;hapa jangwani raia wanaishi maisha magumu sana,Kondoa,chemba..kuna ukame sana hakuna fursa hata maendeleo hakuna.Chakula chao kikuu ni ugali maziwa.Kwa uchawi hapa ndio pake.[emoji12]
Hii nchi tupo sawa tu kwenye suala la uduni wa maendeleo ila humu jf watu mnajipaisha tu.Bora hata Ruangwa wana madini,wanalima mashamba ya ufuta,wana viunga vya minazi.Hivi vyote vinachangia mzunguko wa fedha na huleta maendeleo, na ukikamilika ule mradi wa gesi asilia haki ya nani Lindi yote kwa ujumla inaenda kuwa Paris ya Bongo.
Siku ukija nachingwea nitafutenachingweA,kilwa, ruangwa yote nafanyia kazi zangu site
Njoo tu machimbo yapo...Kuna sehemu kama Mibure na Namungo huko ni wewe tu...Ukitaka undege John,ukitaka kua broker,ukitaka kuweka maduara tu ni wewe karibu tukinukishe nduguMkuu hapo kwenye madini kazia basi Kuna chimbo Huko tujilipue?
Bro uko mianzini,tunduru ya leo,matangini,kwa majogo,bondeni road,mashujaa au wapi...JF ni kibokoSiku ukija nachingwea nitafute
mkuu Vipi kuhusu capital nikiwa kama underground ni kiasi Gani Cha kujikimu na vitendea Kazi?Njoo tu machimbo yapo...Kuna sehemu kama Mibure na Namungo huko ni wewe tu...Ukitaka undege John,ukitaka kua broker,ukitaka kuweka maduara tu ni wewe karibu tukinukishe ndugu
Kuhusu kununua au kuchimbamkuu Vipi kuhusu capital nikiwa kama underground ni kiasi Gani Cha kujikimu na vitendea Kazi?
kuchimba mkuu niwe kama na kiasi Gani kama kianzio pamoja na miongozo ya Kazi!Kuhusu kununua au kuchimba
Shindwa katika jina la Yesu!Tatizo mikoa ya kusini ina laana na uchawi umezidi,mnarogana sana,hayo unayoita maendeleo ukicompare na maeneo mengine ni takataka tu,kusini haitakuja kuendelea kamwe
1. Sasa hivi ni 2022, ninaishi Ruangwa na kama ulikuwa unatumia maji ya kwenye kisima kwa kuvuta na kamba basi wewe mwenyewe ulikuwa masikini, ugumu wa maisha yako alafu unasingizia Ruangwa. Ungedrill basi, ardhi ina maji tele. Halafu kwa wiki maji yanatoka hadi mara nne, hiyo ya mara moja kwa wiki, sijui ulikuwa unaishi Ruangwa gani mkuuRuangwa ni jehanamu ndogo nliishi miaka miwili sitamani tena kurudi uko asee...
1. Maji shida ya kwenye visima vya kuvuta na kamba Tena ya jumvi maji ya mamlaka ya maji yanatoka mara moja kwa wiki.
2. Gharama za maisha ziko juu mfano vitu vinasafirishwa kutoka mtwara na masasi nakumbuka kuna siku nimezunguka wilaya nzima hakuna mkate wilaya haina ata kiwanda cha mkate kweli ni wilaya hii? Bei ya nyama kilo moja tu iko juu sana around 8000
3. Hakuna fursa zozote zaidi ukiacha kilimo cha ufuta na korosho wilaya ya ruangwa iko nyuma sana yaani ata uanzishe kitu apo kitakufa maana muitikio ni mdogo sana na mzunguko wa pesa ni mdogo kupita kiasi..apo kuna kiji lodge kimoja ndio kinaogopwa kua nicha kisasa.
4. Usafiri wa shida kwakua hakuna miundombinu mizuri rami iliyopo ni km azizid 8 uku udongo mwekundu ukitaradadi pamoja na ukame...kampuni zaMabasj azifiki ata 6 maana nakumbuka kuna SB, Shivu, Mashallah na vicosta costa ambapo vinakuja baada ya masaa 2 ndio vinapatia na kurudi vijijini .
5. Majungu na fitina ukitaka usitoboe nenda kwa wamwela asee aufanikiwi utaanza pigwa figusu na majungu balaa hautafanikiwa na biashara yako wao wanapenda majungu , unafiki kufatilia maisha ya mtu binafsi pasipo kufatilia biashara yako wana muattack mtu direct.
Kuna mengi zaidi ya haya, mfano kuabudu watu ukiwa unafahamiana na mtu fulani mkubwa unaogopeka sana ata kama mtu kavunja sheria kisa anajuana na mtu fulani basi anaogopwa,
7. Halmashauri haina mapato nakumbuka kampuni flani ilikua inadai kama 3M ilichukua miaka 4 na sidhan mpk mda huu kama imelipwa.
Watumishi wengi walikua wanaacha kazi na kuomba uhamisho kuhama kwasababu wanaishi maisha ya dhiki sana just imagine shule inawanafunzi 200 walimu 3 hakuna huduma bora za kukidhi viwango nyumba za walimu tu ziko katika hali mbaya.
8. Elimu kwa wakazi ni ndogo sana kijana anakomaa akijua soma na kuandika basi inatosha anakua boda boda vijana wengi hawapendi shule kabisa, ata shule za Advance zenye ubora hakuna ipo shule Moja tu ya Advance Mbekenyela wilaya nzima hakuna shule ya advance ata private ni hatari hii...
Naunga mkono hoja yako..mimi naishi hapa lindi mjini ila kazi zangu nyingi nakuja huko ruangwa na sasa tutawaletea mradi mkubwa wa maji kutokea nyangao...nashauri halmshauri nyingine walau zitenge bajeti waandikie dokezo hata kila mwaka tu taa za barabarani walau 50...ili miaka kumi miji iwe na taa sio unaingia wilayani unakuta giza kama nachingwea1. Sasa hivi ni 2022, ninaishi Ruangwa na kama ulikuwa unatumia maji ya kwenye kisima kwa kuvuta na kamba basi wewe mwenyewe ulikuwa masikini, ugumu wa maisha yako alafu unasingizia Ruangwa. Ungedrill basi, ardhi ina maji tele. Halafu kwa wiki maji yanatoka hadi mara nne, hiyo ya mara moja kwa wiki, sijui ulikuwa unaishi Ruangwa gani mkuu
2. Unasema umezunguka wilaya nzima hujapata mkate, uongo wa waziwazi
Mimi ukinipa hela nikatafute mkate, dakika tano nyingi nakuletea. Tena sasahivi kuna supermarket(Mini). Shida wewe ni mvivu mkuu
3. Uliishi Ruangwa ukaona fursa mbili tu kilimo cha korosho na ufuta, basi. Hapo ndipo unaponiacha hoi, hujawahi sikia kuhusu madini hata siku moja, na unajihesabiha kuwa umewahi kuishi Ruangwa, kweli? Watu wanaanzisha biashara, PS stations, bars, restaurants, Hoteli, lodges na wanatajirika. Wewe umezubaa tu unasingizia shida ni flow of money, uliza wachaga wanaokaa Ruangwa wakuambie jinsi kulivyo na fursa
4. Barabara ya Nanganga to Ruangwa inajengwa kwa kasi. Sasahivi Ruangwa mjini hakuna mtaa usio na lami, sio lami tu kuna taa za barabarani kabisa. Lodge sasahivi zipo nyingi, restaurants ndo usiseme. Bado siku chache tu Hamissa Mobeto na Christian Bella watahudhuria uzinduzi wa hoteli ya kisasa ya Pride hotel, ambayo ina swimming pool, kila kitu.
5. Kuhusu majungu na fitina za wamwera, basi hao ni wamwera ulioishi nao wewe. Mimi naishi na Wamwera. Wamwera ni watu wema sema tu inaonekana wewe ulikuwa mkorofi sana.
6.
7. Kuhusu mapato ya wilaya mi sijui, sema wewe ishi tu maana mambo mengine hayakuhusu. Pambania maisha yako
Kwa elimu sasa Ruangwa inakuja kwa kasi. Shule ya Advance sio moja tu kama unavyodai, zinafika hadi sita. Na bado kujumlisha madarasa ya Samia, na kuna ujenzi wa madarasa ya maghorofa Shule ya msingi Ruangwa, etc
1. Sasa hivi ni 2022, ninaishi Ruangwa na kama ulikuwa unatumia maji ya kwenye kisima kwa kuvuta na kamba basi wewe mwenyewe ulikuwa masikini, ugumu wa maisha yako alafu unasingizia Ruangwa. Ungedrill basi, ardhi ina maji tele. Halafu kwa wiki maji yanatoka hadi mara nne, hiyo ya mara moja kwa wiki, sijui ulikuwa unaishi Ruangwa gani mkuu
2. Unasema umezunguka wilaya nzima hujapata mkate, uongo wa waziwazi
Mimi ukinipa hela nikatafute mkate, dakika tano nyingi nakuletea. Tena sasahivi kuna supermarket(Mini). Shida wewe ni mvivu mkuu
3. Uliishi Ruangwa ukaona fursa mbili tu kilimo cha korosho na ufuta, basi. Hapo ndipo unaponiacha hoi, hujawahi sikia kuhusu madini hata siku moja, na unajihesabiha kuwa umewahi kuishi Ruangwa, kweli? Watu wanaanzisha biashara, PS stations, bars, restaurants, Hoteli, lodges na wanatajirika. Wewe umezubaa tu unasingizia shida ni flow of money, uliza wachaga wanaokaa Ruangwa wakuambie jinsi kulivyo na fursa
4. Barabara ya Nanganga to Ruangwa inajengwa kwa kasi. Sasahivi Ruangwa mjini hakuna mtaa usio na lami, sio lami tu kuna taa za barabarani kabisa. Lodge sasahivi zipo nyingi, restaurants ndo usiseme. Bado siku chache tu Hamissa Mobeto na Christian Bella watahudhuria uzinduzi wa hoteli ya kisasa ya Pride hotel, ambayo ina swimming pool, kila kitu.
5. Kuhusu majungu na fitina za wamwera, basi hao ni wamwera ulioishi nao wewe. Mimi naishi na Wamwera. Wamwera ni watu wema sema tu inaonekana wewe ulikuwa mkorofi sana.
6.
7. Kuhusu mapato ya wilaya mi sijui, sema wewe ishi tu maana mambo mengine hayakuhusu. Pambania maisha yako
Kwa elimu sasa Ruangwa inakuja kwa kasi. Shule ya Advance sio moja tu kama unavyodai, zinafika hadi sita. Na bado kujumlisha madarasa ya Samia, na kuna ujenzi wa madarasa ya maghorofa Shule ya msingi Ruangwa, etc
Sawa mkuu, naona umeishiwa point zaidi ya huo uongo uliouandika hapo juuWewe pamba coz ni kwenu ila wanaopajua uwadanganyi, apo center hospital nimekaa sana
Ukifika lindi nicheki mkuuMwakani narudi namajani...
Liwale na nanjalu....lindi ni [emoji91]
Ova
Sawa mkuu, naona umeishiwa point zaidi ya huo uongo uliouandika hapo juu
Weekend njema lakini cha msingi UJUMBE UMEFIKA
Shida unakurupuka sana, punguza jazbaRuangwa, Lindi, Nanjilinji, Kilwa, Tunduru , Nachingwea ni Choka mbaya mara mia niishi Singidani au Masasi why sijasema Mtwara kubaya au Masasi coz kunamzunguko ila apo
Ukweli mchungu Ruangwa ni jehanamu ndogo unaongolea rami kuwekw [emoji23][emoji23][emoji23] mwaka wa tano huu porojo tu eti ohh barabara ina daraja nyingi..
Aya sema hapa Ruangwa ina vituo vingapi vya mafuta maana ni wilaya iyo.
Ruangwa ina supermaket ngapi, kampuni za mabasi yanayokuja na kurudu dar, kuna bakery hapo, bank ipo NMB na CRDB tofauti na izo zipo nyingine?
Unasema kuna shule za sekondari advance zaidi ya tano zitaje hapa.
Tunaomba taarifa ya mapato ya wilaya yako tuilinganishe ata na Tabora.
Wilaya nzima utatafuta kajisehemu kakupoa kula ata Pizza hakuna, watu wanakalia majungu tu.
Kwanini Maambukizi ya HIV yapo juu maana wamwela wanapenda kudinyana, uongo, majungu, ujuaji kufatilia maisha ya watu.
Apo karibu na mahakama kuna bar bondeni nlikua nakaa apo sana na mkuu wa mkoa na Mkurugenzi bro Ruangwa hakuna Fursa, utaanzisha kitu kitakufa au unataka nikupe mfano wa project nlizo anzisha zikafa?
Apo kama unaenda halmashauri si kuna fremu mpya mbona biashara zinafungwa?
Nimezunguka vijiji vyote Ruangwa maana kazi yangu ilikua inahusisha field sana, shule zote, ofisi za vijiji, zaanati nimezunguka apo Ruangwa mpka lindi mjini ni hoehae, Kilwa kisiwani, kilwa masoko na kivinje kote Elimu hakuna kusini zaidi ya porojo na udini sana plus umwinyi nyie mtu akifanikiwa mnahamia wote kwake.
Namajani ya masasi ama??Mwakani narudi namajani...
Liwale na nanjalu....lindi ni [emoji91]
Ova
Vijana wote wa kusini wamepakimbia huko wamejazana mbagala kufanya umachinga..wanarudi huko kuokota korosho tu..wakiuza huwaoni tena mpaka msimu unaofuata.Ruangwa, Lindi, Nanjilinji, Kilwa, Tunduru , Nachingwea ni Choka mbaya mara mia niishi Singidani au Masasi why sijasema Mtwara kubaya au Masasi coz kunamzunguko ila apo