Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
- #21
unaniringishia upaja wa mbuzi akati hata lunch sijaiona
Ha ha haaa!!!!! Sijakuringishia bwana...mimi nimekukaribisha.
unaniringishia upaja wa mbuzi akati hata lunch sijaiona
hujanimalizia stori ya yule demu, kesho jioni ntakucheki leo niko bize kidogoHa ha haaa!!!!! Sijakuringishia bwana...mimi nimekukaribisha.
hujanimalizia stori ya yule demu, kesho jioni ntakucheki leo niko bize kidogo
acha mawazo ya kilevi ila mbuzi kanona huyoo..
Vitu ulivyoviweka havijakamilika niweze kula nyama choma niisikie....iko wapi sauce ya ukwaju....:A S 11:Sijaelewa sentensi yako hapo juu...una maana gani?
Vitu ulivyoviweka havijakamilika niweze kula nyama choma niisikie....iko wapi sauce ya ukwaju....:A S 11:
unaniringishia upaja wa mbuzi akati hata lunch sijaiona
Weekend ndio hiyooooo imeshaanza...na mimi ninaianza kama ifuatavyo...karibuni nyama choma wapendwa!!!
![]()
duh! nliimiss hii? Ila wewe si tulikubaliana unibip ikiisha kwiva Young Master sasa ona, naishia kula picha
jaman mbona unatutia majaribuni??nimekumbuka mbuzi ya Gorges jaman.............
Sikutii majaribuni mpendwa...nakukaribisha tujumuike pamoja.
Hapo kwa mrombooo.....bisha.....!!!
Kula kwa wingi hii kitu ni kujiandalia maradhi huko mbeleni...
Ha ha haaa!!! Pole mpendwa...nilipitiwa.