Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Weekend ndio hiyooooo imeshaanza...na mimi ninaianza kama ifuatavyo...karibuni nyama choma wapendwa!!!
Weekend ndio hiyooooo imeshaanza...na mimi ninaianza kama ifuatavyo...karibuni nyama choma wapendwa!!!
![]()
Dah we ndugu wewe mbona unatufanya mate yatujae midomoni? Halafu hizi za kuzipata ni uswazi uswazi...kwa Mangi au kwa Wagogo
Ngano ipi mkuu?
Weekend ndio hiyooooo imeshaanza...na mimi ninaianza kama ifuatavyo...karibuni nyama choma wapendwa!!!
![]()
daaah we jamaa acha utani
Kuna watu hawajui kula nyama choma....aisee kwa vitu hivyo mimi haipiti bado
Young Master siku hizi unatutoka kimwili sana, au ndio ulikua unakata hii nyama? siku zote hz lakn?
Yani Young Master,unavyoitamka hiyo Wapendwa utafikiri kweli vile, dah endelea tu sisi tutakusaidia mate ya kumezea.
masanga sioni mkuu...
Weekend ndio hiyooooo imeshaanza...na mimi ninaianza kama ifuatavyo...karibuni nyama choma wapendwa!!!
![]()
Ngano ipi mkuu?
Maji ya Gold..
Hilo bunduki likifyatuka twiga yake hapo habaki mtu da sijui risasi ngapi hiyo
Utani gani tena mkuu?