Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,806
- 34,193
Ohooooo!!!Mkuu hayo mafuta yote yanaingia kwenye mwili wako, wakati ndio mtu unayesisitizia Afya kwa Sana.
Hapo bila ndizi shughuli haiendi
Mafuta ya kuku orignal hayana madhara hayo.Mkuu hayo mafuta yote yanaingia kwenye mwili wako, wakati ndio mtu unayesisitizia Afya kwa Sana.
Mzizimkavu, tiba ya tezi dume ya dawa zetu ni ipi? be it cancer or enlarged tezi dume
Haha asubuhi yote hii unataka kufungua kinywa na ugali??Ingekuwa ugali ningekuja ila wali kula mwenyewe tu