KARIBUNI NDIO NINAKULA MWENYE NJAA AJE .........

KARIBUNI NDIO NINAKULA MWENYE NJAA AJE .........

Hii tabia ya kuweka mboga juu inaniacha hoi. Kwenye kabila letu ukitaka kuchovya mboga lazima uweke kishimo nyie je wakuu mnaijua hiyo?
 
750e35c7a6319c15a3ad45145160495d.jpg

Namimi ndio nakula hivyo
 
Aisee! MziziMkavu Hivi kumbe upo? Mm nilidhani umekamatwa na madawa ya Kulevya Maana huko Istanbul sio mchezo..

Ila hicho chakula umenikumbusha kijijini kwetu.. Mchuzi wa mawese
Kijijini kwenu wap mahembe, mkongoro, manyovu, kibondo, kasulu, uvinza etc
 
Hv huo msosi tangu mtondogooo hadi leo hii hauja haribika tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom