Karibuni ndio ninakula mie jamani

Karibuni ndio ninakula mie jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,955
282924_509658432401089_331016422_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe huoni hicho kitimoto maji au vipi? Kwani kitimoto ni nguruwe tu au hata samaki? Kama nguruwe waliitwa kitimoto kwa kupigwa rungu na wale samaki wanaouawa kwa rungu nao kwanini wasiwe kitimoto? Mmakonde aliuliza, "Nyie mwacheka eti nakula pungo kwani nyinyi chamaki mwanchinja?"
Mkuu Father of All Hakuna hapo Kitomoto wala Mbuzi wa kikatoliki hapo ni samaki wa kumwaga njoo tule.............unakaribishwa

Ndio bibie ndio kwanza ninamka mchana tena karibu bibie@Preta tule pamoja unakaribishwa.............
 
Yaani wewe huoni hicho kitimoto maji au vipi? Kwani kitimoto ni nguruwe tu au hata samaki? Kama nguruwe waliitwa kitimoto kwa kupigwa rungu na wale samaki wanaouawa kwa rungu nao kwanini wasiwe kitimoto? Mmakonde aliuliza, "Nyie mwacheka eti nakula pungo kwani nyinyi chamaki mwanchinja?"
wewe kweli Father of All unafananisha Kitomoto na Samaki?ahhhh aliye kupa hilo jina la Father of All hajakosea umeweza kufananisha Mnyama wa Taifa Mbuzi wa wakatoliki na samaki ahhhhhhh hatari sana weeeeeeeeeeee
 
Upishi ni art, lakini art kubwa iko kwenye presentation. Mpishi kapakuwa chakula vibaya kinaonekana kama makombo.

Samahani lakini dr, naomba umlete.kule food corner kwa machef wa ukweli tumuelekeze. Mie.napenda thamaki ila hapo appetite kwishney.
 
Hiyo ni couscous au maana si ugali wala wali huo....halafu hizo ni chewgum au nini?
 
Duh, kitambi kitaisha kwel ... kama asubuh tu mlo ndo huo?!Utaua watoto, sdhan kama walposema eat ur breakfast like a king walimaanisha hvyo......
 
Napata mashaka lazima unamiliki meli ya uvuvi na huenda hii ni uvuvi haramu!
 
Hapi nyu yia......japo mwaka ushazeeka......khaaaaa

Mpenzi si ulienda kuhesabiwa milimani halafu huko ukapewa kazi ya kuzoa mbolea na kukata majani ya ng'ombe, ndo maana nimechelewa kukupa salamu ya mwaka huu!

Ila si mbaya, nisamehe, tuboreshe penzi letu mwaka huu 2013, mpenzi mwaka huu mapenzi moto moto hakuna kulala mpaka kieleweke, wale wote wanaoanzisha sired humu ndani waumie!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom