Ha ha ha muce bhana nilisomaga hapo ila mijitu inasomea sifa hapo
Uje Na Sweta Ama Jaketi Na Blanket,hali Ya Hewa Huku Ni Kama Kule Ukraine Ama London.
kweli? ok!
So 2jiandae kwa msuli sio?
Mliochaguliwa MUCE karibuni sana.
Tunajivunia hali ya hewa nzuri sana kwa masomo, mazingira tulivu, walimu wenye kujituma, library nzuri na mengineyo. Hakika hutajuta kuchaguliwa Mkwawa.
Mpaka sasa kama hujajua admissions za Mkwawa nenda kwenye website ya UDSM mlimani www.udsm.ac.tz utakuta admissions zote za Mkwawa, DUCE na Mlimani yenyewe.
Enjoy your day!