Karibuni muanze kutafuta viwanja.

karibuni jamani viwanja vipo.msiogope wale mnaosema ni ndoto mko sawa kwa sababu hakuna kitu kinachofanyika bila ndoto hata wewe unayesoma hapa usingezaliwa yaani wewe ni ndoto za mtu.
 
Hahaaaaaa si ni bora nkikaishi ambako yameshajengwa kwa kuwa sijui kama ntafika miaka hiyo
 
kila kitu kinawezekana kama watanzania wote tutaweza kuamka na kufanya kazi kwa bidii na kusimamia vzuri maliasili za nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom