Karibuni muanze kutafuta viwanja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni muanze kutafuta viwanja.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ringo Edmund, Jun 30, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Wadau karibuni muanze kutafuta viwanja 2050 si mbali.
   

  Attached Files:

 2. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,887
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  day dreamer
   
 3. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha Bas Dar kutakuwa na Train za umeme zinatembea juu kwa juu. Umenifurahisha sana
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Huna kazi?????????????????????. Wagonjwa wanataabika huku wewe unaleta mzaha.
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Mtu asifanye jambo kisa wagonjwa wanataabika? Kila jambo kwa wakati!
   
 6. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Hapo ni Los Angels.
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  a day dream
  [​IMG]
   
 8. sister

  sister JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,025
  Likes Received: 3,929
  Trophy Points: 280
  nifanyie mpango lakini kiwanja changu kiwe marangu ndo poa...............lakini siyo marangu mtoni.
   
 9. sister

  sister JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,025
  Likes Received: 3,929
  Trophy Points: 280
  inaelekea kwenu mtu akiumwa basi ukoo mzima unaumwa.......akuna cha kufanya mambo mengine wala nini........
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Aika sana. Shimbonyi shapfo?
   
 11. sister

  sister JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,025
  Likes Received: 3,929
  Trophy Points: 280
  mie siyo mchaga...........hapo sijaelewa kitu.
   
 12. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mladi wa kigamboni umeamia moshi
   
 13. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  watu wanaokaa Dar na hawajawahi kutoka Tz utawajua tuu,kila kitu Tz wanaona ni dar.mara huo ni mradi wa dar mara dar kutakua na treni za umeme...
  muwe mnatembea mnatoa ushamba,unaona dar kama ndo mbinguni
  Dar kwa Tanzania tuu ukitoka Tz Dar si kitu chochote,Halafu Dar haitaprosper forever,another city shall rise in the future
   
 14. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nice photoshoping
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,897
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Kweli its a day dream!!!
  Nimepita Moshi about 2 weeks ago nikitokea Singida,Arusha then Moshi.
  Moshi is definately NOT changing.
  It is as if it has stunted, and refused to grow.
  Bado ni mji ule ule wa zamani na haibadiliki.

  Tofauti sana sana na Arusha ambayo kila kukicha inabadilika.
  Sababu?
  Utaambiwa wenyeji wa Moshi hawapendi kuuza ardhi kwa wawekezaji wa nje, na hivyo basi kufukuza uwekezaji.
  Pole Moshi, but is this true?
   
 16. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umewasiliana na wanamipango miji wa nchi hii na hasa wa pale moshi in particular?
   
 17. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,379
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  I wish....
   
 18. Sibonike

  Sibonike JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 10,236
  Likes Received: 4,922
  Trophy Points: 280
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,736
  Trophy Points: 280
  Kama manzese
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mzee Ndesa alilalamika bungeni wakati anajadili budget ya Pinda kuwa pale Moshi kuna mwanamama mmoja mkurugenzi wa Manispaa ni jeuri kiasi kwamba hafuati maagizo ya madiwani hivyo angefaa kuondolewa; alishangaa kwanini huyo mama mwenye miaka zaidi ya 60 alikuwa anapewa mkataba wa kuendelea ingawa utendaji wake ni duni!! Pengine ndio maana Moshi haiendelei kwa magamba kumuweka mkurugenzi Moshi afifishe maendeleo!!Hizo ndio mbinu zao, kule Mbeya walimuweka Mwakipesile kama RC ; kwa muda wote aliokaa katika wadhifa ule kazi yake kubwa ilikuwa ni kubaka maendeleo ya Mkoa wa Mbeya!!
   
Loading...