karibuni msosi

karibuni msosi

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
karibuni msosi wana JF WOTE
 
Attachments

  • biriani.jpg
    biriani.jpg
    56.4 KB · Views: 185
kuna mkutano wa chama gani hapo mpaka liwepo biriani hivyo aise
Tuambie na kama baada ya msosi kuna upigaji wa kura mkuu Konaball
 
Last edited by a moderator:
Wenye kuvaa suruali fupi msisogelee, kwani hiyo nyama iliyonona ni ya KITIMOTO!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Duh!mbona nyama wameweka nyingi sana?natamani ningekuwepo eneo la tukio!
 
kuna mkutano wa chama gani hapo mpaka liwepo biriani hivyo aise
Tuambie na kama baada ya msosi kuna upigaji wa kura mku
u Konaball

ukiona mitu mingi jua kuna kutano ya chadema. ukiona pilau mingi jua kuna chaguzi ya ccm
Debe tupu weka dengu... kwenye kuku wengi chinja bili tatu....

mkuu kwema? mambo yanakwendaje??
 
ukiona mitu mingi jua kuna kutano ya chadema. ukiona pilau mingi jua kuna chaguzi ya ccm
Debe tupu weka dengu... kwenye kuku wengi chinja bili tatu....

mkuu kwema? mambo yanakwendaje??

Salama kabisa mkuu Jiwe Linaloishi
tupo bana tunapambana hapa
 
Back
Top Bottom