Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 Jun 15, 2011 #1 Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiria ni wali kuku but ...mh!
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Jun 15, 2011 #2 Kwani hii ni nini? naona kama wali kwa kifaranga cha kuku.
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Jun 15, 2011 #3 Mambo ya wali panya hayo hii itakuwa Zambia tu hahaha!
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Jun 16, 2011 #4 Du wamachinga mpo?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,927 Reaction score 1,161 Jun 16, 2011 #5 Hapo ni Masasi town. Wali kwa panya.
HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Jun 16, 2011 #6 Nyama ni nyama ya kuku nyama! ya ndege Nyama! ya Panya nyamaaaaaaaaaaaa.
vena JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 311 Reaction score 40 Jun 16, 2011 #7 aaaaHa ahahahaaaaaaaaa huyo panya daaah! kazi kwenu wala panya
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Jun 16, 2011 #8 Eti wenyewe wana jina zuuuriii, wanawaita CHAMAKI NCHANGA, mtu kwao jamaa!!
T Tasia I JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 1,223 Reaction score 193 Jun 16, 2011 #9 vena said: aaaaHa ahahahaaaaaaaaa huyo panya daaah! kazi kwenu wala panya Click to expand... katot kazuri kwa hyo avata yako. hongera zaidi kam we ndo baba.
vena said: aaaaHa ahahahaaaaaaaaa huyo panya daaah! kazi kwenu wala panya Click to expand... katot kazuri kwa hyo avata yako. hongera zaidi kam we ndo baba.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,799 Jun 16, 2011 #10 Samaki nchanga kwa ubwabwa.