Mkuu iyo bamia imenitoa mate
hamna kaka nimezikumbuka tuu sijala miaka mingi
Nyanya za nini sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]katafute kama hizo alafu udownload
Na nyingine hii na uanangalie chombo nilichowekea (bakuri) zilivyofanana!View attachment 1139983
Huo siyo mchemsho bali ni machalari