ina maana wewe huwaga uangalii upande mwingine lakini kwanini ati?
Curiosity killed the cat!
ha haaaa, asante sana mke wa mtu kwa tip hii......Bishanga anabadilika kulingana na tukio lilopo ni boy na man
Mi naona mkeo kafafanua vya kutoshaFixed Point kwa ufafanuzi zaidi niPM.
Halafu we mke wangu wewe kwa nini umekurupuka kwenda kazini hujaniandalia maji ya kuoga? Na ile tai yangu ya bluu mbona siioni?
ha haaa, I am glad namwona kwa mbali tu..... sipendi kuumiza roho yanguCuriosity killed the cat!
Usiombee kumfahamu bishanga kwa karibu,atakuumiza roho.............cc: Suzie
heheeheheh pacha wantafutia kesi humu mie sio mkewe huyo Bishanga nimekunywa naye tu mbege mara moja baaaasi
ha haaaa, The secretary alishatoa mtazamo wake, sasa nasubiri toka kwa papa KongoshoNgoja waseme wake zake Kongosho, The secretary, Zahra White, Mrs Bishanga
Hao ndo mapapa, japo vipo na vinyangumi kibao hata
ukurasa huu hautatosha kuwaandika.
mkuu kumbe ni wewe ndiye huwa unakaa hapo masters?..Pub marhaba,live band,warembo wa kumwaga,vich.upi nje nje na kaza wa kaza,wakware wote karibuni tujimwage,hilo libaba tumbo kubwa mtakaloliona kaunta ndo bishanga,bill yote juu yangu.
Ile tai ya blue nimeificha mpaka utakaopokuwa unaenda kwenye mkutani wa maziwa makuuHalafu we mke wangu wewe kwa nini umekurupuka kwenda kazini hujaniandalia maji ya kuoga? Na ile tai yangu ya bluu mbona siioni?
tai ya bluu, shati jekundu, suruali ya njano na viatu vya kijani...... Haya The secretary urudi ukamwandalie mumeo vivazi vyake!!!!!!!
"Kuangalia upande mwingine" tungo tata hii, funguka.
mi hata sijui nini kilitokea..................nilijikuta nipo moroco kituoni nimelala!!!
uzuri safari hii sio mtaroni na Bujibuji
hee !! kama muelewa utanielewa namaanisha nini hapo nilipomwambia hivyo