Karibuni Mabibo Beach

Karibuni Mabibo Beach

Mpwa si ulikua unatafuta Material Wife, huyo hapo ni mwana JF mwenzetu, fungua hio link ni ya JF

Hahahhaa mimi naishi hapo Mabibo
Maana kuna vihujuma vya wakongwe nilifikiri umenitupia jiini
Haina noma mkuu
Mabibo Beach kuzuri
 
Hahahahaha Mpwa acha bhana kuwa na Ukongwe forbia hahahahahahaa, hebu nikumbushe ukongwe unaanzia lini? Mimi wa March 2008 tu, juzi
Mkuu fuyaache hayo
Leta story za Mabibo
 
Karibuni Mabibo Beach......
 
1906aebc14049f4c4e284c64bc995126.jpg
9a0f733fb0a626a4894565014b037f64.jpg
9b6f5fbc51adec056d3259b74797a893.jpg

Bonge la beach....upepo mwanana...kiingilio bure
Amazing beach in Joto City

Rais wa Mabibo
The Bitoz
Beach front, nimepapenda hapo. Viwanja bei vipi hapo?
 
Aisee naskia kuna kambale wakumwaga hapo... Mkuu hebu nipe taarifa zaidi kama ni ukwel nije maana mi ni mtafunaji mkubwa sana wa kambale
 
Aisee naskia kuna kambale wakumwaga hapo... Mkuu hebu nipe taarifa zaidi kama ni ukwel nije maana mi ni mtafunaji mkubwa sana wa kambale
Ni kweli kambale wapo
1470067485264.jpg

Karibu Mabibo Beach ule kambale
 
Mkuu nitajitahid nije nicheki kitoweo.. Nawapenda sana hao wadubwana.. Mabibo mmejaaliwa sana, mpaka sekta ya uvuvi[emoji16][emoji16]
 
Maelewano tu
Uwe na uwezo wa kuvumilia harufu ya kinyesi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu wanaoishi hapo ni roho ngumu balaa. Siku ya kwanza kupita hapo nakuta akina mama wanapika chapati na vitumbua asubuhi, hawana hofu. Harufu ni kali balaa. Nadhani ilikuwa ni 2008 au 2009 kupita hapo. Sifikirii kabisa kupita huko
 
Siku hizi wamwkarabati na kujenga uzio
Majitaka ya majumbani yamewekewa mitaro ya zege pande zote
Yaani kupo swaaf tunaendaga na demu zetu kupunga upepo jioni
Angalia picha utagundua pamebadilika
 
Back
Top Bottom