Karibuni Mabibo Beach

Karibuni Mabibo Beach

Kiwanja cha nyumbani hiko miaka hiyo...huo uzio hawajaurekebisha hata leo?hatari sana nakumbuka mwaka 2006 walitumbukia watu wawili mtu na shemejie wote wakafa kisa jamaa kampiga mkewe ambae ni dadake Mshkaji.kuna siku nilipita pale pamezidi kutoa harufu sio kama zamani.
 
Harufu tushaizoea...kwetu sisi sio issue

Giza likiingia huwa sikatizi pale ni hatari..kuna vibaka pia
 
Kabla hujaanza kuogelea piga kwanza dozi ya kipindupindu, sindano za tatanasi, na kinga ya minyoo.
Mkuu acha kumtisha swahiba wangu au hujui kuhara/kipindupindu huku kwetu ni kitu cha kawaida wala sio ugonjwa
 
Back
Top Bottom