KavuHiyo ni beach au bichi?
Naona umeweka kiutani zaidi lakini ni sehemu nzuri sana ya kuendelezwa hata kuwa mfereji mrefu na kuutumia kama moja ya usafiri wa haraka.
Wananchi wangekuwa na boat zao na kwenda kwa umbali zaidi bila kutumia mabasi, well kwetu inakuwa kama ndoto kwa baadhi
Mkuu panaitwa MABIBO BEACHNaona umeweka kiutani zaidi lakini ni sehemu nzuri sana ya kuendelezwa hata kuwa mfereji mrefu na kuutumia kama moja ya usafiri wa haraka.
Wananchi wangekuwa na boat zao na kwenda kwa umbali zaidi bila kutumia mabasi, well kwetu inakuwa kama ndoto kwa baadhi
Hapa mavi ni kiduchu tofauti na Buguruni mabwawani