Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Umenikumbusha ile supu!!Nikisikia njaa naitazamaga tu nashiba ha ha haHahahahaha alafu nakujuuliaje...ahahaha na pweza itabidi niandae pia
Umenikumbusha ile supu!!Nikisikia njaa naitazamaga tu nashiba ha ha ha
Ha ha ha we huachi unialike ukipika ile supu ya pweza nami nataka huo ugari sijui ukwaju!!!Hahahaha na ile pilipili mbuzi je?
Mwenzio siku hizi mepata mtindo wa kupenda ugari hadi wananishangaa kumbe nafatia samaki tu lol
Hahahaha na ile pilipili mbuzi je?
Mwenzio siku hizi mepata mtindo wa kupenda ugari hadi wananishangaa kumbe nafatia samaki tu lol
Ha ha ha we huachi unialike ukipika ile supu ya pweza nami nataka huo ugari sijui ukwaju!!!
ubuyu...mana dalili za mimba
Ahhh nilijua tu utanirushia na picha!!Haahaah UKALI shosti...ntakualika usijali ile supu hii hapa una bahati sijaifuta..nliitia ndimu ikakolea hasa..
Ubuyu...haahahahah hapa mimi49 humtoi na Heaven on earth
Mhhhh! tonge mbili za ugali samaki mzima LOL!!!! Acha hizo 🙂🙂
Unashushia na hii kitu..juice ya miwa
Vipi kuna guarantee ya TBS hapa?