Tamasha la upako na mguso

Tamasha la upako na mguso

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wanajamvi

NINAWAKARIBISHA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI WA UPAKO
NA MGUSO WA MUNGU KUKUTEMBELEA USIKOSE JPILI HII YA TAREHE 26/05/2013 PALE
HOUSE OF PRAYERS KINONDONI MKWAJUNI

KUANZIA SAA 8:00 MCHANA NA KUENDELEA

WAIMBAJI WATAKAOKUWEPO SIKU HIYO NI NEEMA GOSPEL CHOIR AIC CHANG'OMBE,
CORNERSTONE GOSPEL SINGERS,REVIVAL TEMEKE, WAIMBAJI BINAFSI NA WENGINEO WENGI

MAELEKEZO YA KUFIKA:
KAMA UNATOKEA MWENGE SHUKA KINONDONI MKWAJUNI RUDI NYUMA ULIZA OFISI ZA CCM ULIZA JENGO LA GHOROFA LA HOUSE OF PRAYERS NA KAMA UNATOKEA MAGOMENI SHUKA KINONDONI MKWAJUNI VUKA BARABARA KISHA ULIZA OFISI ZA CCM NA ULIZA JENGO LA HOUSE OF PRAYERS UTAKUWA UMEFIKA TUKO GHOROFANI

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NO. 0764 038517 (USIBEEP)

KUTAKUWA NA VITU MBALIMBALI VYA KUPITA MNADA HIVYO JIANDAE

KARIBU SANA TENA SANA HAKUNA KIINGIIIO NI MIGUU YAKO MPENDWA

Ktk BIBLIA kitabu cha mwisho ufunuo maneno ya mwisho kabisa yanasema hivi usiongeze wara kupunguza maneno yakitabuhiki, sasa nauliza haya maneno mguso wa mngu na upako wa mngu mmeya nukuu kutoka kitabu gani? sipendi kubishana jibu kutokana na BIBLIA
 
Kwani amesema hilo neno mguso limetoka kwenye Biblia. By the way hiyo mngu ulimaanisha Mungu ama mungu? Usituletee ubishani usio na manufaa

Nilimaanisha Mungu. maswaliyangu. mguso na upako yanatoka wapi?
 
"....kitabu hiki."...ushawahi kujiuliza kililengwa kitabu gani?
Je ilikuwa ni Biblia(ambayo wakati Yohana anapewa ufunuo haikuwepo)
Au ulikuwa ni Waraka huo wa Ufunuo wa Yohana ambao ndio alikuwa anaulenga kwa kuwa kila kilichoandikwa kilipigwa muhuri.

Ktk BIBLIA kitabu cha mwisho ufunuo maneno ya mwisho kabisa yanasema hivi usiongeze wara kupunguza maneno yakitabuhiki, sasa nauliza haya maneno mguso wa mngu na upako wa mngu mmeya nukuu kutoka kitabu gani? sipendi kubishana jibu kutokana na BIBLIA
 
Nilimaanisha Mungu. maswaliyangu. mguso na upako yanatoka wapi?

Upako ni neno lililonyumbulishwa kutokea neno paka (in our case ni paka mafuta). Ni kama ilivyo kwa maneno "kipato" na "pata" n.k
Mguso na lenyewe vivyohivyo litafuata kanuni kama hiyo hapo awali, mzizi wake ni neno "gusa".
Jaribu kurejelea uambishi wa maneno katika lugha ya kiswahili.
 
Mguso is subjective, mleta mada amejuaje hao waimbaji watagusa, je wakichemsha. Ni vizuri asiweke maneno yenye chunvi bila msingi.
 
Back
Top Bottom