Karibuni juice ya miwa wakuu...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,092
21,773
Hii kitu balaa, imemixiwa na ka ndimu kidogo ladha madhubuti kabisa. Pande za mwenge nakiete hapa Kuna jamaa anauza aisee ni tamuu....!!!!
uploadfromtaptalk1464092952675.jpg
 
Hahahhaha ukimaliza hapo ukienda bungeni kujibu swali lazima utajibu kwa mapozi sana kama sijui mbunge nani vile.... kjule Lushoto hio ni pombe aiseeee.
 
Hii kitu balaa, imemixiwa na ka ndimu kidogo ladha madhubuti kabisa. Pande za mwenge nakiete hapa Kuna jamaa anauza aisee ni tamuu....!!!!
View attachment 350586

Out of topic..... hivi hiyo hapo ndo timberland land shoe sijui boot ...... Nauliza tuu...

I love sugarcane juice, I used to have my supplier who deliver 2 litres everyday in substitute of my lunch.

Kasie.

Hope you enjoy your glass
 
Thanx mkuu Kasie, no hizi sio Timbs, hizi zinaitwa Mkasulu. Its kinda American army boots
 
Back
Top Bottom