Karibuni Jirani zangu wa Kibaha

Kwa shimo hili, materials nyingi zimesaidiana na materials ya nyumba; mbao, mchanga, kokoto.

Ila shimo likiwa lenyewe tu hesabu yake ni 1.0M had 1.2M kwa materials tu!
Hujaweka Bati Hadi Leo?
 
Tayari watu wanaishi
Finishing tayari?
Ama mdogo mdogo na familia ikiwa ndani.

Wewe ni fundi ama?
Nina saiti yangu Kiluvya nimeshaweka Bati na Grills.

Najipanga masuala ya plumbing, electrical na rough floor.

Unafanya hizi kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…