Hili duka ndio limeanza kutakuwa na kila kitu soon
Aisee napendaga sana suit, sijui nitupie picha langu nimevaa suit???
Mkwe usitupie watakuiba buree
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Utakuwa mwaminifu?
Unajuwa kucheka na wateja?
Asante mkwe, na habibty wngu akiona hatanielewa