Mkuu Huwa namuaminia sana huyu dada katika masuala ya urembo na mavazi, lakini vazi hili la #KTMA2014 nimeshindwa kulielewa, kama ndo mavazi yaendayo na wakati kazi ipo! Kama ndivyo basi limeingia JF Shopping mall kiroho safi
View attachment 156288Cc Bantu lady View attachment 156289Cc miss neddy Bantu lady charminglady masai dada mzigo huo!ndio upo juu kwa sasa!
View attachment 156386kwa sasa tunazo hizi ila mzigo mwingine unaingia next week