Karibuni jamani Wanaume Wote Wa Dar

Karibuni jamani Wanaume Wote Wa Dar

Duu!!huo wa mbele kulia ni msosi gani wenye rangi ya brown!!
Huo ni ugali wa mtama ukila unanenepa ndani kwa ndani,una nguvu sana huo msosi hasa ukiula na sato chukuchuku,ukila mchana mpaka kesho kama ni mpenzi wa konyagi utazipeleka kinoma hakuna myumbo hapo
 
Ratio ya msosi haiendani na body size ya walaji.Ni wameotea msosi mara moja au ni kawaida ila wanaku*ya sana?

Inaelekea hapo wamekwenda kwa wakwe watarajiwa...sasa wakimaliza vyakula hivyo hawapati mke kamwe...Yaani mke aende kwa mwanamume anayekula chakula kama Simba???
 
Inaelekea hapo wamekwenda kwa wakwe watarajiwa...sasa wakimaliza vyakula hivyo hawapati mke kamwe...Yaani mke aende kwa mwanamume anayekula chakula kama Simba???
Na lazima waishie kuhar.sha tu...Maana hamna namna sasa.
 
1472650479537.jpg
mambo barabaraaa
 
Back
Top Bottom