Karibuni jamani Wanaume Wote Wa Dar

Karibuni jamani Wanaume Wote Wa Dar

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Najua sa hivi mnatafuta Mnaitaga FAST FOOD zile take away... Sasa huku take away Zinawatia hasara wauzaji maana haxiendi kwa msosi huu

1472297830476.jpg
 
Hao wanaume wa dar wanakula chips mayai msosi kama huo watauweza kweli
 
Ratio ya msosi haiendani na body size ya walaji.Ni wameotea msosi mara moja au ni kawaida ila wanaku*ya sana?
 
wa mkoani wameharikwa kwenye sherehe wanataka wamalize njaa zao kwa siku moja
 
wanaume wa mikoani kunya mpaka muende na sabuni la sivyo damu tu kama mmekutana na popo bawa
1472300627845.jpg


Popo Bawa Anawapenda mana ni walaini walaini huko ... Mtu unakula chakula Kama Hikinunategemea nn ..
 
Duu!!huo wa mbele kulia ni msosi gani wenye rangi ya brown!!
 
Back
Top Bottom