Mkuu wajingawatu Mkuu Mbuzi Mzee hawezi kula Kitomoto labda tumuulize mkuu Father of All huenda anakula yeye.Vipi tena Maalim, Hii si kiti moto hii mkuu MziziMkavu? -wewe hii kitu unapata?
Vipi tena Maalim, Hii si kiti moto hii mkuu MziziMkavu? -wewe hii kitu unapata?
Mkuu wajingawatu Mkuu Mbuzi Mzee hawezi kula Kitomoto labda tumuulize mkuu Father of All huenda anakula yeye.
Mbona haijaenda kibla hiyo, hatuli. Kwani tamko la serikali hamkulielewa? Ssi tu ndiye wenye haki ya kuchinja!asante sana. Sisi ndio kwanza tunaanza kutayarisha cha kwetu.
View attachment 81738
Mbona rosti la hiyo kitu linaogeleaga, King'asti? Au wewe mgeni wa hii kitu?Mkuu wa meza hafanani hivyo bwana, na haogelei michuzini. Love the china and the arrangement.
Khaaaaa we mwenyej wa iringa nn?asante sana. Sisi ndio kwanza tunaanza kutayarisha cha kwetu.
View attachment 81738