Yaani nikajipeleke kwa Pilato kweli hapo ushakuwa uji badala ya ugali.maji yakizidi unga mkuu,utasema tu
Mkeo anaweza kuishia kucheka tu
halafu kesho yake mkeo anakwenda kuwasilimulia marafiki zake, wanashinda wanakusema na kukucheka
Mkeo anaweza kuishia kucheka tu